Dini zimefanywa biashara, michango imekuwa mingi

Mbona wengi mnatoa mifano ya bar!? Kwani wakatoliki wote wanaenda bar kunywa?
Sio wakatoliki wala dini ya ukristo ni watu ndio wanaenda ,hawakufundishwa na ukristo ila wao ndio wanafanya katika kuyaendea mambo ya kidunia.
 
Huu ujinga wa kushibisha matumbo ya watu kwa uzushi unaoitwa sadaka nilishaukataa muda sana.
 
Mimi kuna mstari wa biblia au maisha ya Yesu huwa yananifikirisha niki relate na ukristo wa sasa.Ukisoma Luka 5:1-10 Yesu alihubiri akiwa kwenye maji akitumia mitumbwi iliyokuwa imeegeshwa(Simoni) wakati wanasafisha nyavu zao.Kwenye mstari wa tatu ,Yesu akaketi kwenye hicho chombo akaanza kufundisha makutano akiwa chomboni.Alipomaliza "HAKUKUSANYA SADAKA" bali alimwambia Simoni "tweka mpaka kilindini,mshushe nyavu zenu mvue samaki" ingawa Simoni alibisha but walienda.Nataka kusema kuwa why Yesu akukusanya sadaka kutoka kwa watu aliokuwa anawafundisha(leo tunaita sadaka?) Ndio maana huwa kuna vitu vimeletwa kwenye mapokeo sijawahi kuvielewa hata kidogo na ndio maana makanisa yamekuwa biashara na watu wanatajirika sana ingawa huo haukuwa ukiristo kwa imani yangu.Ndio maana ujanishawishi nitoe sadaka sijui madhabahuni ya Mungu ,sijui ambatanisha sadaka yako na maombi(surely unanuna ,wakati Mungu ni tajiri haitaji kitu zaidi ya Moyo wako?) sijui fungu la kumi nk huku ukipewa vitisho kibao.Mimi ni mkristo lakini ninachokiona kwenye makanisa badala ya kufundisha nenno la Mungu wako busy na sadaka na shughuli za biashara.KKKT unakuta Askofu hawezi kwenda kwenye usharika kuubiri tu lazima kuwe eti na "harambee sijui'' ,uzinduzi nk .Aje huku kwenye visharika vyetu kutuhubiria neno la Mungu yaani huwa sijawahi kuelewa aisee.Anyway niishie hapa
 
ukiristo kwaujimla wake ni biashara.dini yaukweli niuislamu

kunakanisa mahalo mchungaji kuonana namuumini sikuambayo Sio yaibada ni elfu 60 nawaumini wanajazana Hadi wengine wanakosa nafasi yakumuona.

Sasa najiuliza mchungaji kashindwa kuwaombea kawaida Hadi aonane Nao mmojammoja?Tena kwaelfu sitini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wewe andazi kweli,kwahiyo nawewe tukisem uislam ni biashara ya saudia mkienda kuhiji utaelewa au mpaka tuhakiki kwanza kama akili zako ni kubwa!!!!

dino yoyote inaweza kutumia kama biashara,tofauti ya uislam na ukristo ni kwamba waislam hawajui kutoa sadaka misikinitini.
 
tukienda kuhiji tunafanyaje?hebu ropoka usikike😁
 
Salaam!

Mimi nafikirishwa sana na hizi dini za leo za kizungu, binafsi mimi ni mkatoliki lakini naona uchafu uchafu tu.

Hawa wakristo tuwape muda tu hii karne ya 21 ikipita najua hatuta kuwepo wengi humu ila ukristo utakuja kuwa kituko cha karne (22) kutokana na yale tunayo yaamini viongozi wetu wanatuletea mapicha picha ya kutufanya sisi ni misukule yao.

Nimejiuliza swali moja tu mimi kama baba mlezi mtoto alifika hatua ya kipaimara, nikaambiwa eti nitoe shilingi elfu 25,000 ili mtoto akae pamoja na askofu. Yaani yeye askofu anakuja kukaa na watoto hiyo siku ya kipaimara wanakula pale sahani ya wali na soda na stori mbili tatu afu imeisha hiyo. Mimi kipaimara changu hakikuwa hivi sasa hii elfu 25 ni ya nini? Mamichango ya zaka ni lundo.

Kidogo nisahau kuuliza hili swali?

Hivi wakuu na huko kwenye uislamu ni hivi hivi?
du!!! mimi nimeacha kwenda jumuia miaka minne sasa
 
Aahaaaa,hapa ndipo ninaposema kuwa dini ni michongo ya watu
 
🤣Hii ni huko kanisani kwako
Si uachane nayo tu mkuu.

Yesu ndo muhim kwenye maisha yako sio hayo mapokeo ya kipuuzi sio muhimu
 
Walokole kwa kushambulia na kukosos Roman Catholic hamjambo mnakuja kujisahau kwamba wote mko kwenye the same boat mnamshirikisha Mungu wote ni washirikina af wapigaji kwa waumini wenu.
Kumbe huyu mleta Uzi ni mlokole?🤔
 
Tutoe tu mangi???
Tatizo husomi biblia lazima upelekeshwe.
Soma neno mkuu, wala mtu hata kulazimisha kutoa
Eti zaka mtu anakupangia ,how?
Zaka/fungu la 10 liko wazi kwenye Malaki 3
Ss mtumishi anakupangiaje?
Someni biblia
 
ndio sababu nikasema akili ndogo huwezi elewa unakandwa wapi.wenye akili wanajua[emoji16][emoji16].

watu 3mil wakija hapa nchini tena dsm pekee,unajua impact yake??nenda kaoge ulale.
akili huna.wakija watakaofaidika niwatu wamahoteli wenye nyumba zakupanga wafanya biashara ila sio mashehe bwege wewe
 
ukiristo kwaujimla wake ni biashara.dini yaukweli niuislamu

kunakanisa mahalo mchungaji kuonana namuumini sikuambayo Sio yaibada ni elfu 60 nawaumini wanajazana Hadi wengine wanakosa nafasi yakumuona.

Sasa najiuliza mchungaji kashindwa kuwaombea kawaida Hadi aonane Nao mmojammoja?Tena kwaelfu sitini🤣🤣🤣
Ss kwavile huyo mpuuzi kafanya huo ujinga ndo ujumlishe 'ukristo'?

Ukristo ni Imani ya kweli ya pekee, na Ile kwamba ni ya kweli hainamaana itakosa matapeli,waongo ilishaandikwa hata hatushangai!
 
Yesu nimungu au siomungu?☹️☹️☹️
 
akili huna.wakija watakaofaidika niwatu wamahoteli wenye nyumba zakupanga wafanya biashara ila sio mashehe bwege wewe
bwege nani sasa kama sio wewe[emoji23][emoji23]

wewe sheikh kisomo cha 40 huwezi faidika sababu sio sheikh wa saudia ulipo mji unaouita mtakatifu,endelea kuchomwa jua,acha masheikh wa macca wenye hotel wale maisha na serikali ya saudia iendelee kukuza uchumi,wewe endelea kunuka mdomo hapo msikitini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili linafurahisha sana ila uislamu lazima pia wachunge wasiingiliwe na tamaa za makanjanja....
Wasiingiliwe mara ngapi? 🤣
Pole sn yaani mapokeo yako ya huko kanisani kwako ndo unataka watu waone ukristo mbaya?!!
Yesu hajaleta dini ,hayo mambo yako ya kwenye kigango Chako ni huko huko.
Tunamwitaji Mungu sio dini /dhehebu au watumishi!
We ukiona hapakufai ondoka kimya kimya ,nachojua hawalazimishi kubaki
 
Back
Top Bottom