Dini zinamilikiwa na Wazungu au Waafrika?

Sawa haijalishi... tuseme ukristo umetokea uarabuni au Asia..haya tuambie mwafrika anaweza kuwa mkuu wa hizo dini za uarabuni? Unaacha point ya msingi unajadili mambo ya kijinga
 
Juma na salehe hatuwapendi wile na Charle wakati tunafanana rangi ya ngozi mpaka nywele duu salale.
-Afande sele dini-
 
Hauoni Corona ilianzia wapi?

Mafuriko,matetemeko ya ardhi vimbunga hausikii huko China?
China hawataki mambo ya Mungu (Miungu). Wanaongoza kwa kupinga vita kuran isienee nchini mwao wakidai inachochea wananchi kuwa na itikadi kali.
Mbona hawalaaniki?
 
Yesu siyo muarabu ni Myahudi. Uislamu ni agano la kale la Biblia. Uislamu ulianzishwa na mapadre watano wa kikatoliki walioasi kanisa katoliki miaka 500 baada ya Kristo.
Acha uongo... Ibrahim alikuwa mwarabu wa Mesopotamia (Iraqi) kutokea eneo linaitwa Ur...Na kuhusu uislamu wewe ni muongo. Thibitisha.
 
hauoni Corona ilianzia wapi?
mafuriko,matetemeko ya ardhi vimbunga hausikii huko China?
Kwahiyo Congo wamelaaniwa na Ebola.

Na nchi zote kusini mwa Jangwa la Sahara zimelaaniwa na UKIMWI.

Tanzania imelaaniwa na malaria na umaskini?
 
Ndio inawezekana pia.ili liwe fundisho na ukumbusho kuwa mungu yupo
Kwahiyo Congo wamelaaniwa na Ebola.
Na nchi zote kusini mwa Jangwa la Sahara zimelaaniwa na UKIMWI.
Tanzania imelaaniwa na malaria na umaskini?
 
Sasa hii inatusaidia nini? Maana kwanza huyu sio mkuu wa mashia duniani...pili hii ni dini ya waarabu tu
 
Kumbe umaskini wa Haiti hauhusiani na kukataa dini za wakoloni.

Kumbe ata kusini mwa jangwa la Sahara watu wana sali mno na wanapatwa na magonjwa vilevile.

Hivyo uache kuhusianisha kutosali kwa Mungu wako na kupata majanga.
Ndio inawezekana pia.ili liwe fundisho na ukumbusho kuwa mungu yupo
 
Sasa hii inatusaidia nini...huyu ni Cardinal tu..sio Papa. Papa ni mzungu
 
Za wazungu...

Hakuna madhara yoyote tukirudi kwenye zama zetu sababu mambo yataendelea kama kawaida...
Eti Malkia wa Uingereza ni Mkuu wa dini ya Anglikan wakati taaluma yake siyo Theologia.

Imam wa Nizari Ismailia Wa-Shia ambaye ni Imam wa 49 Prince Shah Karim al-Husseini ambaye ndiye Aga Khan IV ni Mkuu wa dini ya Ismailia wakati taaluma yake siyo dini/Theologia.
 
Ni hivi, wazungu wana akili sana na huwa wana mipango ya muda mrefu.

Kipindi wanakuja Afrika kueneza dini walitumia gharama sana. Kwa mfano, waumini walikuwa wanapewa zawadi makanisani. Pia, huko mashuleni (seminari) walikuwa wanasoma bure, na motisha kibao.

Hali hii ya misaada katika makanisa (hasa Roman Catholic) kutoka Ulaya ilienda mpaka miaka ya 2000.

Kibao kimegeuka kwa sasa. Viongozi wa kanisa (Vatican) wamekuja na kauli mbiu kwamba, Watanzania tunatakiwa tujitegemee katika kuendesha makanisa yetu. Kinachofanyika kwa sasa ni michango kwa kwenda mbele, na sehemu ya Sadaka inapelekwa huko Vatican kwa Papa.

Je, huo haukuwa uwekezaji? kwamba Vatican wanaanza kula faida waliyowekeza miaka hiyo?
 
Sasa hii inatusaidia nini...huyu ni Cardinal tu..sio Papa. Papa ni mzungu

Umeona tunaongea lugha moja kuwa mswahili kuwa Papa / Pope ni ngumu kuna nguvu nyuma ya pazia zenye mamlaka kuu za maamuzi. Mfano Cardinal John Njue mswahili mwenzetu amesoma sana na kuwa 'mbobezi' kwa kiwango cha mgeni wa elimu ya dini lakini hawezi kufikia wenyewe waanzilishi wa imani ktk ngazi ya juu duniani.

Sisi tunaweza kuchagua dini za kuja tukasoma sana mabuku yakajipanga juu ya mabuku mengine na kujaza maktaba kwa ma journals, kuhubiri sana ktk nyumba za imani, YouTube , kujifunza lugha za kale za imani hizo n.k lakini inapokuja uongozi utaishia kuwa cardinal wa jimbo au nchi na ngumu sana kupata cheo cha pope.

Ni hivyo hivyo kwa dini zingine za kuja Afrika hata tuvishwe vilemba vingapi vya kutunikiwa umahiri lakini mwisho wa siku tutaishia maeneo madogo ya kuaminiwa na siyo nafasi ya juu ya kimataifa ktk uongozi wowote wa dini za mapokeo za kuja toka ugenini.

Sababu kuna siri kubwa walionayo waanzilishi asilia wa imani hizi za kuja kwetu kwa kutumia vyombo zinazosafiri kupitia bahari. Na vitu hivyo vya siri kubwa usipopewa nafasi ya kuvijua basi aghalabu ni ngumu sana kupewa uongozi wa juu kabisa kidunia ktk imani husika ngeni ambayo haikuasisiwa Afrika.



Source : https://www.identiv.com/community/2...secure-buildings-the-vatican-secret-archives/
 
Usiwe una jibu hoja kama hujaielewa. Ulichoandika ni matokeo ya kutoelewa nilichokiandika.
 
Kibaya sasa imetengenezwa chuki na matabaka baina ya hizo dini za wazungu...

Hawa mambo yao haya wanajiona sahihi...
Hawa mambo yao haya wanajiona sahihi...

Wakikukutana ni mapambano badala ya amani...
 
Wewe unaposikia nabii Issa unadhani ni nani?

Raha ya dini uzijue zote usiishie kwenye ukafir.
Kweli shetani ni baba wa uongo,yaani baadae miaka 600 kupita mkamuita nabii Issa na kuzaliwa chini ya mtende si tena zizini?lengo ni kumuweka mohd awe juu sio?
 
5:51 - Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.

Niliposoma tu hii Aya ndani ya Quran ndipo nikatambua kuwa Dini zimeletwa Kwa ajili ya kutugawanya sisi watu weusi Leo watu weusi tunaitana makafiri Mwislamu anamwona mkristo ni mchafu, kafiri, mshirikina huku mkristo anamwona mwenzake pia hafai hii ni ujinga mkubwa Yesu anawaita watu wasikuwa wayahudi mbwa na kama utasoma biblia Kwa makini Agano la kale wale wanyama ambao Wana waisrael walikatazwa kula kama ngamia,mbwa, nguruwe ni mfano wa mataifa


Sasa angalia maneno ya mtume Muhamad dhidi ya watu weusi


Kwanza tunafanana na mashetani.


Ishaq:243 "I heard the Apostle say: 'Whoever wants to see Satan should look at Nabtal!' He was a black man with long flowing hair, inflamed eyes, and dark ruddy cheeks, , Allah sent down concerning him: 'To those who annoy the Prophet there is a painful doom." [9:61] "Gabriel came to Muhammad and said, 'If a black man comes to you his heart is more gross than a donkey's.'"


Narrated Anas bin Malik: Allah's Apostle said, "You should listen to and obey, your ruler even if he was an Ethiopian (black) slave whose head looks like a raisin."
Sahih Bukhari 9:89:256

Qur'an 39:60
And on the day of resurrection you shall see those who lied against Allah; their faces shall be blackened. Is there not in hell an abode for the proud?

Muhamad alimiliki watumwa weusi na kuwauza

It was narrated by jabir said

A slave came and pledged to the Prophet to emigrate, and the Prophet did not realize that he was a slave. Then his master came looking for him. The Prophet said: 'Sell him to me,' and he bought him for two black slaves. Then he did not accept the pledge from anyone until he asked: 'Is he a slave?"'

Sunan an nasa i 4184

Alafu mtu anakwambia uislamu ni Dini ya watu weusi au Ukristo Mimi nimezaliwa kwenye familia ya kikristo saivi na miaka 21 nilishaachana na huu ujinga wa Dini za waarabu na madhehebu ya wazungu
 
Kweli shetani ni baba wa uongo,yaani baadae miaka 600 kupita mkamuita nabii Issa na kuzaliwa chini ya mtende si tena zizini?lengo ni kumuweka mohd awe juu sio?
Sasa nimeijua rangi yako halisi, kwakuwa JF si sehemu sahihi ya unachokitaka nakuacha ukae hivyohivyo na unachokusudia kukianzisha.
 
Yaani ni uduwanzi uliopita kikomo.

Ujinga usio mwisho.

Ukimuona mlokole anavyomshobokea yesu, utadhani alikuwa mpigania uhuru wa kiafrika.

Na ukiona mwarabu mweusi anapepea na kanzu nyeupe na makobazi utadhani ni vazi la taifa.
Ww jamaa[emoji1787][emoji1787]nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…