Dini zinamilikiwa na Wazungu au Waafrika?

Dini zinamilikiwa na Wazungu au Waafrika?

Kuachana kwa maagizo ni Sababu ya sisi wenyewe binadamu.

Kama hakuna mungu mmoja.

Wewe umeumbwa na mungu yupi?
Hakuna Mungu mmoja. Dini ziko nyingi sana ambazo maagizi zilizo nayo kutoka kwa huyo Mungu yanaachana kabisa
 
Sisi masuni hatuna mambo ya ukuu. Sisi tuna wanazuoni wakubwa. Katika hao Wanazuoni wapo waafrika wengi na ajabu iliyoje Wasomi wakubwa wa Lugha ya Kiarabu si waarabu kiasili.

Wasomi wakubwa wa kiarabu kutokuwa waarabu is that a compliment or an insult kwa hao wasomi?

Ndo maana tunasema dini ni tamaduni za watu kama ilivyo tamaduni za wahehe, wakinga nk. Wengine wote mnaacha tamaduni zenu kufuata tamaduni ya hao waliowaletea dini.
 
Kuachana kwa maagizo ni Sababu ya sisi wenyewe binadamu.
Kama hakuna mungu mmoja.
Wewe umeumbwa na mungu yupi?

Sio kila mtu anaamini kwenye uumbaji au story mlizoletewa na mizungu na miarabu kwa viboko na mijeredi ili wawatawale.

Kama kila kitu kimeumbwa nae mungu kaumbwa na nani?
 
Kama wewe mwenyewe haujui umeumbwa na Nani.

Utajuaje mungu kaumbwa na Nani.?

kabla ya kumtambua mungu unapaswa ujitambue wewe

Mungu gani kwanza tunamuongelea hapa maana kila mtu ana mungu wake na wengine hawana miungu kabisa.

Mimi mungu wangu anaishi ghetto kwangu nimemuumba mwenyewe. Wewe wako kaumbwa na nani?
 
Mimi mungu wangu Allah.

Asiye na mwanzo Wala mwisho.

Mungu wako umemuumbwa kwa material yapi!?
Mungu gani kwanza tunamuongelea hapa maana kila mtu ana mungu wake na wengine hawana miungu kabisa.

Mimi mungu wangu anaishi ghetto kwangu nimemuumba mwenyewe. Wewe wako kaumbwa na nani?
 
Je, tuondoe misahafu kwenye viapo vya kisheria? Tuape kwa mila na desturi za makabila?

Tuondoe somo la dini kwenye mitaala mashuleni?

Wazo zuri lifanyiwe kazi ili kutusaidia kujitambua sisi kiasili tuna maruhani, mahoka, vibwengo, imani na tamaduni za kikwetu hasa na siyo za kigeni .

Cheki uzi unavyokimbia na comments zake nyingi ni za imani ngeni za kuja kupitia bahari badala za mababu na mabibi zetu ya kina Zolelanga, Mukulu, Chakumwenda n.k.
 
Hata yesu au Muhammad wangekuwa wamakonde Bado mngewakataa kikubwa IMANI
Wazo zuri lifanyiwe kazi ili kutusaidia kujitambua sisi kiasili tuna maruhani, vibwengo, imani na tamaduni za kikwetu hasa na siyo za kigeni .
 
Nimesoma comments zenu wote na nimefurahi kuona baadhi yenu mmeanza kujitambua na kuna ng’ombe zingine bado zipo machinji
Martin Luther hakuogopa kama tunavyoogopa leo.

Japo na yeye mfumo aliouasisi wa Protestant nao umekuja kuchakachuliwa na mfumo chipukizi wa Upentekoste ukiupinga ule wa Uprotestanti.

Naanimi leo Martin Luther akirudi duniani atakata tamaa na kuacha kusali au kusema bora nirudi kwenye Catholicism, yaani hata Lutheran yenye jina lake siyo ile iliyoanza mwanzoni kule.

Luther came to reject several teachings and practices of the Roman Catholic Church. He strongly disputed the claim that freedom from God’s punishment for sin could be purchased with money, proposing an academic discussion of the practice and efficacy of indulgences in his Ninety-five Theses of 1517.

Источник: Why did Martin Luther criticize the Roman Catholic Church?
 
Yaani ni uduwanzi uliopita kikomo.

Ujinga usio mwisho.

Ukimuona mlokole anavyomshobokea yesu, utadhani alikuwa mpigania uhuru wa kiafrika.

Na ukiona mwarabu mweusi anapepea na kanzu nyeupe na makobazi utadhani ni vazi la taifa.
Hii comment haiishi utamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weka chanzo Cha takwimu yako

Screenshot_20220221-211528.png
 
Wazo zuri lifanyiwe kazi ili kutusaidia kujitambua sisi kiasili tuna maruhani, mahoka, vibwengo, imani na tamaduni za kikwetu hasa na siyo za kigeni .

Cheki uzi unavyokimbia na comments zake nyingi ni za imani ngeni za kuja kupitia bahari badala za mababu na mabibi zetu ya kina Zolelanga, Mukulu, Chakumwenda n.k.
Kwahiyo majini nayo yalikuwa ni ya Waarabu, yakawa imported Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kuwa moja ya miungu ya kigeni siyo?
 
Za wazungu...

Hakuna madhara yoyote tukirudi kwenye zama zetu sababu mambo yataendelea kama kawaida...
 
Back
Top Bottom