Dini zingesambazwa kama ambavyo Atheism inasambaa sidhani kama zingekuwa na wafuasi wengi hivi

Vitu hivyo haviko sawa kwenye dini au dhana nzima ya kuwepo Mungu? Kwa sababu wapo waliyoona vitu havipo sawa kwenye dini aliyokuta kwa wazazi na akaona dini nyengine ndio sahihi akahamia hiyo dini na wapo waliacha kabisa dini na kuamini Mungu pasina kuwa na dini.

Lakini pia wapo waliyokuwa atheists na wakaja kuwa waunini wa dini wazuri tu mkuu, hivyo usikuze sana hili suala la mtu kuacha dini kuwa atheist kuonekana ni ishu kuuubwa. Hasa kama utachunguza utaona tatizo lenu wengi ni aina ya dini mliyotoka.
 
Kama hakuna ushahidi anaweza kukataa.
Lakini mimi nimeweka ushahidi

Na mmoja kati yenu amesema kuwa hiyo ni hadithi ambayo ipo kwenye grade ya "Hasan"

Kwa mujibu wa source yake aliyoweka imefafanua kuwa Hasan ni hadithi ambazo ni sahihi kutumiwa kama ushahidi.

Sasa mpaka hapo unaoingaje kuwa sio kweli?
 
Unaelewa maana ya kuwa spread?
Ndio maana nikakuuliza kama uislamu ulienea kwa kuuwa wasio waislamu ina maana kipindi hicho waislamu hawakuwa wakiishi na wasio waislamu?
 
Kitu hakiwi hakipo kwa sababu wewe umesema tu hakipo na ndio maana agnostic hawadai kuwa Mungu hayupo.
 
Kitu ni kilekile unasoma kwa sababu unaelewa umuhimu wa shule ama unasoma kwasababu unaogopa kuchapwa na mwalimu.

Jela ,jehanam kitu ni kile kike tu kutokujitambua.
Na ndio binaadamu tulivyo, hicho unachotaka kutuambia wewe hapa ni kwamba wenye kujielewa ni watu perfect hawafanyi makosa hivyo hakuna haja ya jela.
 
Uliyoyaeleza kuhusu mtume ndio waislamu humu wameyakataa kuwa sio iwe kwa kutafsiri kinyume hadithi au hadithi dhaifu na ndio maana hata huyo jamaa mnabishana hapo.
 
Na ndio binaadamu tulivyo, hicho unachotaka kutuambia wewe hapa ni kwamba wenye kujielewa ni watu perfect hawafanyi makosa.
Hilo umesema wewe , sio kila binadamu yupo kama wewe , tembea uone , kosa ni kosa kwako na jamii yenu kwa wengne sio kosa.
 
Hilo umesema wewe , sio kila binadamu yupo kama wewe , tembea uone , kosa ni kosa kwako na jamii yenu kwa wengne sio kosa.
Sijui hatuelewani? Nachosema binaadamu kiujumla tunafanya makosa kwa mujibu wa jamii na sheria zao. Uwe una dini ama atheist wote hutokea kufanya makosa kama binaadamu hata kama unajielewa.
 
Soma kama unajua !..Nimekupa ayah unataka nn tena?

Nimekuambia soma hutaki.
Aya hazina maelezo ambayo mimi nimesema.

Ndio maana nimekuambia uweke hiyo quote hapa inayoonesha Quran ikitoa maagizo watu waswali sala 5 kwa siku
 
Ndio maana nikakuuliza kama uislamu ulienea kwa kuuwa wasio waislamu ina maana kipindi hicho waislamu hawakuwa wakiishi na wasio waislamu?
Mecca kabla ya Uislamu kulikuwa na wapagani.

Lakini leo hii Mecca ni 100% waislamu na wapagani ni 0.00%

Bado utarudia kuuliza waislamu hawakuwa wakiishi na wasio waislamu?
 
Soma kama unajua !..Nimekupa ayah unataka nn tena?

Nimekuambia soma hutaki.
Aya hazijibu swali langu.

Na kwa pointi hiyo unathibitisha ni eidha wewe muongo au Quran ni ya uongo.

And for my POV nadhani wewe na Quran wote ni wazushi.
 
Atheism ni moja ya Imani kongwe kabisa kuwepo Duniani, na wengi wanaojiita waumini wa madhehebu na dini mbalimbali ni wafuasi wa Imani hii, wakitofautiana tu viwango!
... ONGELEA TU KUWA OFFICIAL LAKINI SIO KITU KIPYA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…