Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Vitu hivyo haviko sawa kwenye dini au dhana nzima ya kuwepo Mungu? Kwa sababu wapo waliyoona vitu havipo sawa kwenye dini aliyokuta kwa wazazi na akaona dini nyengine ndio sahihi akahamia hiyo dini na wapo waliacha kabisa dini na kuamini Mungu pasina kuwa na dini.Kwasababu tumetokea familia za dini sana. Nikisema niwaelezee baadhi ya vitu nitaleta sintofahamu kubwa.
Binafsi imenichukua kama miaka 2 kuamini kwamba haya madini hayapo sawa.
Kipindi nilipoamua kuchallenge mafundisho/mahubiri, na huku nasoma hoja za atheists, nilianza kama kudata/kuchanganyikiwa kimtindo.
It's not easy kwa "mfia dini" kuwa atheist. Atheism ni process ya taratibu. Kama umetokea familia za kushika dini. Kwenye transition period kwenda kwenye atheism lazima uwe battle la wewe na kichwa chako kwa muda kidogo
Sipendi kuwashawishi watu kuwa maatheists, kwasababu naamini Kama una akili timamu, Kuna vitu utajua haviko sawa
Lakini pia wapo waliyokuwa atheists na wakaja kuwa waunini wa dini wazuri tu mkuu, hivyo usikuze sana hili suala la mtu kuacha dini kuwa atheist kuonekana ni ishu kuuubwa. Hasa kama utachunguza utaona tatizo lenu wengi ni aina ya dini mliyotoka.