Sayansi ni sayansi na dini ni dini, hata hivyo sayansi imesaidia kuelewa baadhi ya mambo kwa vizuri kutoka kwenye vitabu vya dini.Kwa hiyo kwa nini hamtumii vitabu vya sayansi kwenye mahubiri yenu?
Inasmbazwa,ipo kwenye new world order pamoja na ushoga,inasmbazwa kupitia nadharia za kisayansi,ukishasimama kusema hakuna Mungu vitu vyote vimetokea kwa mlipuko tu,hapo unahubiri atheism hata Kama huna msikiti Wala kanisa
Kumbuka kutoka zero 🤣🤣...India wamevunja msikitini juzi tu hapana wanakosa wafuasi...23m/1,430,000,000 is negligible... Ni kama sifuri tu
Dini kama zingetumia nguvu africa zingetoka kama mkoloni ...Dini zilikuja na nasaha ni mpango wa Mungu kusambaa ...Watu wameacha tamaduni zao miaka sembuse dini miaka kibao wangeachana nazo.
Sasa kaangalie dini ipi inakuwa zaidi? Yaani wanadai zimeanzia mashariki ya kati ila mpaka America zimefika....je Wazungu ni dhaifu mpaka kuingia kweny dini
Basi sawa kila mtu aishi tu apendavyo sioni vibaya mtu akiamini Mungu yupo au asiamni .Mkuu mwenyewe umeeleza hapo kuwa watu wanaingia atheism baada ya kukosa majibu kwenye dini zao, nachojua kuachana na dini hakukufanyi moja kwa moja kuwa atheist kuna mitazamo mingi kuna member juu huko amiesema yeye sio mkristo wala muislamu na pia hakubaliani na atheism. Sasa kuna hoja zipi za msingi kwenye atheism?
Yani nikiona sielewi elewi dini basi nikimbilie kuwa atheist? Ndio mnaita kufungua akili?
Ingekuwa hivyo kusingekuwa na atheists wanaingia katika dini na kuamini Mungu.Yes, kujadili hoja iliyopo kwa kutumia sayansi iliyopo
Yoshua alisimamisha jua, ukoma ni laana kutoka kwa Mungu , sayansi imesaidia uelewe nini apo?Sayansi ni sayansi na dini ni dini, hata hivyo sayansi imesaidia kuelewa baadhi ya mambo kwa vizuri kutoka kwenye vitabu vya dini.
Kuna wayu wengi wenye iwezo mdogo kiakili na matapeli ndiyo wamekimbilia kwenye dini sababu kule ni swala la kuaminibtu bila ushahidi sababu imeandikwa. Huko wamejibebea wafuasi na umaarufu, wakati huohuo dunia inajikita kwenye kuhoji hao waliokimbilia kwenye dini hawana majibu zaidi ya kusema imeandikwa.Msingeshindana kufungua nyuzi za kuponda wanaoamini katika Dini, Nyie mkipewa mamlaka ndo mtakuwa wa kwanza kuchoma nyumba zote za ibada
Maneno ya mtu wenu akimtamka YesuDini ni ya watu wasiojitambua , wanaojitambua hawahitaji vitisho na ahadi za kidini kufanya mambo mema( utu).
Ukiona mtu anafanya mambo mema kisa ahadi za Peponi na vitisho vya jehanam jua huyo hajitambui.
Ukitoa tu hivyo vitisho na ahadi huyo mtu atakua zaidi ya mnyama .
Atheists ni watu wanaojitambua kiakili na kiutu , Atheists ndio asili ya kila binadamu .
Kweli kila mtu aishi apendavyo mwenye kuona kuamini Mungu yupo kuna mashiko basi aamini na mwenye kuona kudai hakuna Mungu kuna mashiko basi asimamie huo msimamo na mwenye kuona hakuna njia ya kujua uhakika wa kuwepo au kutokuwepo Mungu nao pia washikile huo msimamo, tatizo hapa ni mmoja kujiona et kwamba ana akili sana kwa kushikilia huo msimamo aliyonao.Basi sawa kila mtu aishi tu apendavyo sioni vibaya mtu akiamini Mungu yupo au asiamni .
Binafsi siamni Mungu yupo na sitakaa nishikwe kwenye huo mtego.
Mbona sijayazungumzia hayo uliyoyataja hapo.Yoshua alisimamisha jua, ukoma ni laana kutoka kwa Mungu , sayansi imesaidia uelewe nini apo?
Ni mtazamo wako tu , kwa sababu hata hao wanao amini Mungu kila mmoja anaamni Mungu wenye sifa na tabia tofauti na mwenzake na kila mmoja anaona mwingne kapotoka .Kweli kila mtu aishi apendavyo mwenye kuona kuamini Mungu yupo kuna mashiko basi aamini na mwenye kuona kudai hakuna Mungu kuna mashiko basi asimamie huo msimamo na mwenye kuona hakuna njia ya kujua uhakika wa kuwepo au kutokuwepo Mungu nao pia washikile huo msimamo, tatizo hapa ni mmoja kujiona et kwamba ana akili sana kwa kushikilia huo msimamo aliyonao.
Ila binafsi ni bora agnostic kuliko atheist.
Binafsi nimekuwa mtetezi wa uhuru wa kuamini na kuabudu, pamoja na wa kutoanini na kutoabudu, kwa watu wote.Msingeshindana kufungua nyuzi za kuponda wanaoamini katika Dini, Nyie mkipewa mamlaka ndo mtakuwa wa kwanza kuchoma nyumba zote za ibada
Mbona sijayazungumzia hayo uliyoyataja hapo.
Oohhh Jesus christ🙄🙄 kumbe.Maneno ya mtu wenu akimtamka Yesu View attachment 2888868
Ndio ni mtazamo wangu kutokana na uelewa wangu na jinsi navyoona hoja za hao atheists ambazo kwa kiasi kikubwa zinaishia katika mitazamo ya kidini zaidi kuliko suala la kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu na ndio maana wale wasio na dini ila wanaamini Mungu huwa hawana shida na hoja za atheists maana zinashambulia dini zaidi.Ni mtazamo wako tu , kwa sababu hata hao wanao amini Mungu kila mmoja anaamni Mungu wenye sifa na tabia tofauti na mwenzake na kila mmoja anaona mwingne kapotoka .
Tena akiwa kwenye kitanda chake cha umauti,Oohhh Jesus christ[emoji849][emoji849] kumbe.
Stephen hawking kabla hajafa alisema haamini kwenye Mungu ila alizikwa kikristoDini ni ya watu wasiojitambua , wanaojitambua hawahitaji vitisho na ahadi za kidini kufanya mambo mema( utu).
Ukiona mtu anafanya mambo mema kisa ahadi za Peponi na vitisho vya jehanam jua huyo hajitambui.
Ukitoa tu hivyo vitisho na ahadi huyo mtu atakua zaidi ya mnyama .
Atheists ni watu wanaojitambua kiakili na kiutu , Atheists ndio asili ya kila binadamu .
Kwanza atheism si dini, hivyo haina mtume wala "mtu wetu".Maneno ya mtu wenu akimtamka Yesu View attachment 2888868
Kuzikwa kikristo ndio kuzikwa vipi huko?Stephen hawking kabla hajafa alisema haamini kwenye Mungu ila alizikwa kikristo