Dini zingesambazwa kama ambavyo Atheism inasambaa sidhani kama zingekuwa na wafuasi wengi hivi

Umetumia hasira, jitulize tafakari upya.
Hana cha kutulia, ndo uwezo wa kufikiri umeishia hapo.
Sasa km huyu kwann Zumaridi asiwachanganye atakavyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani Yoshua kasimamisha jua, wakati jua lenyewe limesimama. Au hapo zamani jua lilikuwa Linamove, na Joshua ndiye aliyelisimamisha??
Wewe una uhakika gani kama Jua hali move?

Umetafiti? Au umeambiwa tu ukaamini
 

Hakuna dini hata moja ambayo haijamwaga damu.

Judaism , Christianity and Islam hazina tofauti na institutions za Hilter, Hiroshima , Vietnam war , Nuremberg etc etc zote zimefanya bloodshed ya kutosha, what the difference?

Killing is killing and unethical , JINAI!

Kama kuna mtu dini yake haijaua watu aje hapa abishe, Msifiche hii kitu wekeni wazi.

Dini zimeua thousands of civilians with justification of killings , what the Hell!

What kind of God ana entertain bloodshed among the other things,

What is ethical dilemmas between religions and other institutions such as Nuremberg Concentration Camp, Vietnam War , Afaghastan , Iraq and Russia- Ukraine War ?

According to theory of Deontology ( the moral principals and Fundamental Character Ethics ) killing is bad and unethical consideration no matter what .

But hizi dini zinajustify killings ili kufanya zionekane hazikufanya makosa:

kuna haja ya kufanya TRIALS for Crimes zilizofanywa na hizi dini kama ilivyokuwa kwa ile Nuremberg Trials against Nazi Physicians who conducted unethical medical experiments kwenye concentration camps, ikiwemo kuwanyima watu pumzi, kugandisha watu alive, injection of lethal chemicals observing the death process, injection of cancer cells etc etc na kusababisha thousands of death ….. hakuna tofauti na hizi dini …. Zote ni killings

Dini ni source of hate, Stigma, discrimination and enslavement

You can’t convince me Xtian ana mdiscriminate Muslims , and vice versa au Muslim anaita his fellow human being KAFIR ambaye anamuona in a physical way , huku ana praise God ambaye hamuoni …… hiyo ni aina nyingine ya mental disorder

Each of which claims to be true , Xtian claims the only way to heaven is through Jesus Christ, Muslims claims no one will enter Janah( heaven ) except being Muslims , and our crazy jews claims they are the ONLY chosen people of God [emoji38]

Everyone claims for the truth … they are branches of the same tree
 
Tatizo msio na dini hatuoni hiyo mifano yenu ya amani na upendo ili tujifunze.
 
Inasmbazwa,ipo kwenye new world order pamoja na ushoga,inasmbazwa kupitia nadharia za kisayansi,ukishasimama kusema hakuna Mungu vitu vyote vimetokea kwa mlipuko tu,hapo unahubiri atheism hata Kama huna msikiti Wala kanisa
Hakuna Atheism inayosema vitu vimetokana kwa mlipuko.

Atheism ni lack of beliefs
 
Unataka upendo gani mkuu

Be free
Umesema sisi watu wa dini tunauwa, tunachukiana na kuitana makafiri na ndio nasema japo tungeona jinsi msio na dini mnavyoishi vizuri kwa upendo na amani tungejifunza kutoka kwenu.
 

Silimu Usalimike
 
Nafikiri hoja uliyopaswa kuwasilisha ilipaswa kuwa hivi

Kama kweli dini ni mpango wa Mungu na Mungu yupo kweli, kwanini Mungu asifanye kila mtu ajue dini bila kutangaziwa na mtu?

Kuna mamilioni ya watu waliokufa kabla hata ya ujio wa dini.

Kwanini Mungu awe mkatili kiasi hiki kwa kuwatenganisha watu wake wasipate neema ya kuijua dini wakati alikuwa na uwezo wa kuwafanya wajue dini bila kuwategemea hao watu kutoka mbali?

Na Mungu alituma watu wangapi kutuletea dini, mbona tuna dini nyingi ambazo zinapingana, huoni kuepusha huu utata njia nyepesi ilikuwa ni yeye kumfunulia kila mmoja ajue dini na kuanzia hapo kusingekuwa na dini zaidi ya moja?
 
Kwahiyo waislamu hawakuwa wakiishi na wasio waislamu waliwalazimisha kwa upanga wawe waislamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…