King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Huwa najiuliza sana.... Inakuwaje mtu yupo liquid kiasi hiki.... Maisha mazuri, shida ndogo ndogo kama zetu hana... Then unapata depression mpaka kujidhuru kiasi hiki.... Huwa sipati majibu kwa haraka.... Naombeni kusaidiwa hapa...
Anko una uhakika tutaonana mbinguni ?Basi ingekua hivyo DiBanj na Davido tungekua hatunao mda huu, watoto si unakamata Mwanamke tu unamjaza mimba issue sio mtoto sio depression kuna maelezo zaidi ya hayo anaejua sana sana ni yeye na nakafa nayo, apumzike panapositahiri tutaonana mawinguni
😅🤣🤣🤣nimetoka kupita janaa tu namanyele yaan ni pori sanaaWe uko Namanyele huko ya mjin utayajulia wapi babu.
nimechekaaa sio poa et unakamata mwanamke unatia mimba daaaaBasi ingekua hivyo DiBanj na Davido tungekua hatunao mda huu, watoto si unakamata Mwanamke tu unamjaza mimba issue sio mtoto sio depression kuna maelezo zaidi ya hayo anaejua sana sana ni yeye na nakafa nayo, apumzike panapositahiri tutaonana mawinguni
Jamaa umetoa sifa backed with solid evidence. Kudos! May his soul RIP kwa sababu hatujui masaibu gani yalimkumba mpaka kuchukua maamuzi hayo magumu sana.Usiseme kiaina bali alileta mapinduzi ya uhakika. Ndie alieintroduce video mixing and production kwa kiwango cha 720p na 1080p Full HD hapa bongo baada ya Adam Juma kusumbua kwa muda mrefu sana akipuyanga kwenye 360p na 480p zote hizo zikiwa ni SD Quality.
Baada ya Nisher ndio wakazaliwa video producers wengi wa kizazi kipya kama kina Hanscana na wengineo.
Umasikin ni mbaya sana mkuu.Pambaneni na umasikini wenu
ungempa lift mkuu au ungemkodishia tax au bajaji kama ulikuwa na chochote kitu. nimejaribu kufikiria hiyoo situation kwa kweli ni ngumu sana. najiuliza anaenda kula nini kipindi cha uzazi.Umasikin ni mbaya sana mkuu.
Sio muda hapa nikiwa lwenye harakat zangu mjini nimepisha na madada wawili, mmoja kabeba katoto kachanga mmoja nikahis ndio mzazi katoka kujifungua, wanatembea toka hospital wako kituo cha daladala nafikor warud home. Na usafir huu wa jijin asubh hii wa kugombania, roho ikaniuma sana yan daah!!
Ni kwel unachosema ila ndio hivyo mjini hapa kuna time unaogopa wema usije ukakuponza so una wish umsaidie mtu at the same time unawaza what if? Bas unaamua kuendelea na ishu zako.ungempa lift mkuu au ungemkodishia tax au bajaji kama ulikuwa na chochote kitu. nimejaribu kufikiria hiyoo situation kwa kweli ni ngumu sana. najiuliza anaenda kula nini kipindi cha uzazi.
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaniSio weusi tu... Alidirect weupe pia!
ImeniumaaaUmasikin ni mbaya sana mkuu.
Sio muda hapa nikiwa lwenye harakat zangu mjini nimepisha na madada wawili, mmoja kabeba katoto kachanga mmoja nikahis ndio mzazi katoka kujifungua, wanatembea toka hospital wako kituo cha daladala nafikor warud home. Na usafir huu wa jijin asubh hii wa kugombania, roho ikaniuma sana yan daah!!
Hivi Kwanini Wagonjwa wengi ufariki usiku wa manane?[emoji29]
Sijui kwann juzi jpili lililazwa kwa kairuki pale ,aise usiku ktk wodi yetu alikuja mgonjwa anatembea ,tukawa wodi moja , huwezi amini yule jamaa hakufika hata asubuhi ,alikata moto usiku ule ule na shuhudia ,niliita manesi ,nikaomba wanitoe aisee usiku ule wodiniHivi Kwanini Wagonjwa wengi ufariki usiku wa manane?[emoji29]
Muda ambao mtu huzaliwa ndio muda huo huo hufaHivi Kwanini Wagonjwa wengi ufariki usiku wa manane?[emoji29]
Acha kabisa.hili life my friend acha tu. Nikawaza vitu vingii.Imeniumaaa
Ahahahah..acha kamba..kwahiyo wakaku discharge tu kienyeji enyeji kama like unapojiskia tu? Labda kama ulitoroka 😂Sijui kwann juzi jpili lililazwa kwa kairuki pale ,aise usiku ktk wodi yetu alikuja mgonjwa anatembea ,tukawa wodi moja , huwezi amini yule jamaa hakufika hata asubuhi ,alikata moto usiku ule ule na shuhudia ,niliita manesi ,nikaomba wanitoe aisee usiku ule wodini
Acha tuu sina cha kuongezea...Mungu ampe nafuu ya maishaAcha kabisa.hili life my friend acha tu. Nikawaza vitu vingii.
HUyu kutunzwa uzaz itakuaje vitu kama lishe. Okay hiyo kwake mzazi, vipi kuhusu mtoto maziwa.. achana na ishu ndogo ndogo kama maternity pads za angalau kumfanya awe comfortable..
Yupo nyumban wa kumfanyia kazi na usaidiz au ndio 12 inabid kuamka na kuendelea na majukum? Hapo unajaribu kujisahaulisha maumivu ya kuimwa mgogngo na tumbo baada ya kujifungua ambao huchukua muda flan mpaka kurud sawa!. Bas tu!!
Nafuu hiyo itoke wapi in an overnight mkuu..Acha tuu sina cha kuongezea...Mungu ampe nafuu ya maisha