TANZIA Director Nisher afariki dunia

TANZIA Director Nisher afariki dunia

Huwa najiuliza sana.... Inakuwaje mtu yupo liquid kiasi hiki.... Maisha mazuri, shida ndogo ndogo kama zetu hana... Then unapata depression mpaka kujidhuru kiasi hiki.... Huwa sipati majibu kwa haraka.... Naombeni kusaidiwa hapa...

Watu wanarogwa ,ndiyo maana usimuamini sana binadamu...Zahara kawekewa sumu na ndugu zake...binadamu roho za korosho sana ,usikute wamempiga kinyama zongo cha depression.

Watu wanapigwa mapepo ya uzinzi(umalaya) ,watu wanapigwa mapepo ya wizi ili mradi wakupoteee direction ,kama ndugu wasipohangaika unapotea....Hata Chid Benzi 100% kapigwa "chuma".
 
😅🤣🤣🤣
Basi ingekua hivyo DiBanj na Davido tungekua hatunao mda huu, watoto si unakamata Mwanamke tu unamjaza mimba issue sio mtoto sio depression kuna maelezo zaidi ya hayo anaejua sana sana ni yeye na nakafa nayo, apumzike panapositahiri tutaonana mawinguni
nimechekaaa sio poa et unakamata mwanamke unatia mimba daaaa
 
Usiseme kiaina bali alileta mapinduzi ya uhakika. Ndie alieintroduce video mixing and production kwa kiwango cha 720p na 1080p Full HD hapa bongo baada ya Adam Juma kusumbua kwa muda mrefu sana akipuyanga kwenye 360p na 480p zote hizo zikiwa ni SD Quality.

Baada ya Nisher ndio wakazaliwa video producers wengi wa kizazi kipya kama kina Hanscana na wengineo.
Jamaa umetoa sifa backed with solid evidence. Kudos! May his soul RIP kwa sababu hatujui masaibu gani yalimkumba mpaka kuchukua maamuzi hayo magumu sana.
 
Pambaneni na umasikini wenu
Umasikin ni mbaya sana mkuu.

Sio muda hapa nikiwa lwenye harakat zangu mjini nimepisha na madada wawili, mmoja kabeba katoto kachanga mmoja nikahis ndio mzazi katoka kujifungua, wanatembea toka hospital wako kituo cha daladala nafikor warud home. Na usafir huu wa jijin asubh hii wa kugombania, roho ikaniuma sana yan daah!!
 
ungempa lift mkuu au ungemkodishia tax au bajaji kama ulikuwa na chochote kitu. nimejaribu kufikiria hiyoo situation kwa kweli ni ngumu sana. najiuliza anaenda kula nini kipindi cha uzazi.
 
Ni kwel unachosema ila ndio hivyo mjini hapa kuna time unaogopa wema usije ukakuponza so una wish umsaidie mtu at the same time unawaza what if? Bas unaamua kuendelea na ishu zako.
 
Umasikin ni mbaya sana mkuu.

Sio muda hapa nikiwa lwenye harakat zangu mjini nimepisha na madada wawili, mmoja kabeba katoto kachanga mmoja nikahis ndio mzazi katoka kujifungua, wanatembea toka hospital wako kituo cha daladala nafikor warud home. Na usafir huu wa jijin asubh hii wa kugombania, roho ikaniuma sana yan daah!!
Imeniumaaa
 
Hivi Kwanini Wagonjwa wengi ufariki usiku wa manane?[emoji29]
Sijui kwann juzi jpili lililazwa kwa kairuki pale ,aise usiku ktk wodi yetu alikuja mgonjwa anatembea ,tukawa wodi moja , huwezi amini yule jamaa hakufika hata asubuhi ,alikata moto usiku ule ule na shuhudia ,niliita manesi ,nikaomba wanitoe aisee usiku ule wodini
 
Imeniumaaa
Acha kabisa.hili life my friend acha tu. Nikawaza vitu vingii.
HUyu kutunzwa uzaz itakuaje vitu kama lishe. Okay hiyo kwake mzazi, vipi kuhusu mtoto maziwa.. achana na ishu ndogo ndogo kama maternity pads za angalau kumfanya awe comfortable..

Yupo nyumban wa kumfanyia kazi na usaidiz au ndio 12 inabid kuamka na kuendelea na majukum? Hapo unajaribu kujisahaulisha maumivu ya kuimwa mgogngo na tumbo baada ya kujifungua ambao huchukua muda flan mpaka kurud sawa!. Bas tu!!
 
Ahahahah..acha kamba..kwahiyo wakaku discharge tu kienyeji enyeji kama like unapojiskia tu? Labda kama ulitoroka 😂
 
Acha kabisa.hili life my friend acha tu. Nikawaza vitu vingii.
HUyu kutunzwa uzaz itakuaje vitu kama lishe. Okay hiyo kwake mzazi, vipi kuhusu mtoto maziwa.. achana na ishu ndogo ndogo kama maternity pads za angalau kumfanya awe comfortable..

Yupo nyumban wa kumfanyia kazi na usaidiz au ndio 12 inabid kuamka na kuendelea na majukum? Hapo unajaribu kujisahaulisha maumivu ya kuimwa mgogngo na tumbo baada ya kujifungua ambao huchukua muda flan mpaka kurud sawa!. Bas tu!!
Acha tuu sina cha kuongezea...Mungu ampe nafuu ya maisha
 
Back
Top Bottom