King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Huwa najiuliza sana.... Inakuwaje mtu yupo liquid kiasi hiki.... Maisha mazuri, shida ndogo ndogo kama zetu hana... Then unapata depression mpaka kujidhuru kiasi hiki.... Huwa sipati majibu kwa haraka.... Naombeni kusaidiwa hapa...
Watu wanarogwa ,ndiyo maana usimuamini sana binadamu...Zahara kawekewa sumu na ndugu zake...binadamu roho za korosho sana ,usikute wamempiga kinyama zongo cha depression.
Watu wanapigwa mapepo ya uzinzi(umalaya) ,watu wanapigwa mapepo ya wizi ili mradi wakupoteee direction ,kama ndugu wasipohangaika unapotea....Hata Chid Benzi 100% kapigwa "chuma".