TANZIA Director Nisher afariki dunia

Depression, depression, depression...

Mtu katupiwa mapepo ya mauti Kisha mnasingizia depression...

Hv huko hospital wale wagonjwa waliojikatia tamaa kwanini hawajiui?
 
Una umri gani mkuu kwa kutoa komenti ya namna hii,hebu niambie uko shambani unalima mazao yakiwa katika hali nzuri ya matumaini unakuta yamefyekwa ,unashangaria na kutafuta shamba jingine na kuanza kulima upya!? Na vipi hali ikiendelea hivyo mwisho wa juhudi zako ni upi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…