Dirisha la Usajili CAF na TFF limefungwa RASMI niliyoshauri yafanyiwe kazi Simba HAYAJAFANYIKA, Wanasimba mjiandae kisaikolojia

Mkuu unapowaamini viongozi, waamini katika maamuzi yao pia. Naamini Simba ikifanya vizuri hautarudi kuja kuappreciate
Kwa Kasi ya wachezaji wa Yanga , uwezo binafsi na njaa yao ya magoli ni wazi Simba imezidiwa, kinachobaki ni ubishi tu! Hakuna atakaerudi hapa kuappreciate Nini, Yanga mbele kwa mbele hadi kubeba NBC premier league!
 
Kwa mtazamo wangu tatizo la Simba ni Kocha na siyo wachezaji,ni kama falsafa yake inafeli na haivutii,msimu uliopita simba imekuwa na first 11 ya kauka nikuvae kiasi kwamba hata waliopo benchi wakakufa viwango,enzi za kina Gomes hadi Israel mwenda alikiwasha vizuri tu ikaonekana anaweza kuwa mbadala wa Kapombe lakini baadaya ya mabadiliko ya makocha wachezaji wamesugua sana benchi , hata wangeletwa wazuri kiasi gani kama hamna rotation ya wachezaji nadhani viwango vitakufa tu.

Kwa usajili huu siwezi kulaumu sana maana hata hatujawaona vizuri hao waliosajiliwa kama Kramo na Golikipa mpya inawezekana wakakiwasha au wakafeli.

Hebu tusubiri kidogo tujue tatizo ni usajili,wachezaji au kocha? Ingawa mi kwa upande naona tatizo ni kocha
 
Mtoa uzi alikuwa sahihi alipotoa angalizo kwamba uzi huu uchangiwe na watu wenye akili pekee. Yeye anasema alishauri asajiliwe mchezaji 'kama' Yao Yao, Unajua maana ya neno 'kama'?
 
Kwa Kasi ya wachezaji wa Yanga , uwezo binafsi na njaa yao ya magoli ni wazi Simba imezidiwa, kinachobaki ni ubishi tu! Hakuna atakaerudi hapa kuappreciate Nini, Yanga mbele kwa mbele hadi kubeba NBC premier league!
Yanga tunabeba kila kitu kuanzia Ngao ya Jamii
 
Unakuta hata uwezo wa kusajili mfua jezi tu huna hivi kwanini wana simba tusimshukuru Mo kwa kazi nzuri.
Ni rahisi kuongoza kampuni yoyote ila siyo klabu ya mpira.
 
Kuhusu Ayoub mimi natetea huo usajili asee, embu kapitie rekodi za injury za Manula ndio utajua

Beno alistahili kuwa chaguo la kwanza another team ndio maana akaamua kusepa

Kama ulivyosema wasajiLiwe mabeki wa kuwapa changamoto Zimbwe na Kapombe, ndio hivyo hivyo Ayoub kwa Manula.

Usajili wa Abel hapo hawakujipanga
 
Wachezaji wa Yanga wamewazidi Simba uharaka wa kwenda mbele , speed ya uchezaji. Ukipewa wachezaji wazuri ukaamua kuwabwaga tu uwanjani hukawii kuhisi ni wachovu.

Kuna sababu kwanini makocha wanalipwa mamilioni. Wachezaji wazuri hautoshi. Yanga ya Nabi vs Kaze.

Pale kapombe alipo unamfundisha nini???

Ngoja niende Ulaya.

MESI , Ronaldo, Mbappe, KDB nk
Hawa watu unawafundisha nini???

Fungua akili.
 
Umemsahau kumuongelea Boko.

Boko wa kazi gani?
 
Kipofu hawezi kumuongoza kipofu Mwenzie either watapotea au watatumbukia.


FIKICHA AKILI.
Muda wa usajiri ulikuwepo, ungetoa pesa zako kutengeneza kikosi unachotakaa, unapiga kelele pesa za wenzakoo??
Unachekesha kweliii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…