Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

My dear hivi unadhani wanaokosa hawana juhudi? what if vanessa angezaliwa uswekeni huku akakosa hata jinsi ya kutoka ?
Au unadhani wangapi wamepata na wakiwa na akili/juhudi/uwezo na wakaachwa tu out of blue?
Wangapi walio kuwa na nafas ya kutoka na hawakufanya hivyo? Kila kitu juhudi na uwezo wa kukipigania kile unacho hitajiii.

Hakuna bahati inakuja tyuuh, lazima uweke mazingira wezeshi.
 
Mganga huwa hajibu, unamkumbuka Yule mmanga aliyeachwa kabla ya Diva? Alipaparika hadi Kwa Mange, mganga kimya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mganga atakuwa na vitu adimu huyu tatizo hana hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona akiwaacha wanapagawaga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
cocastic mganga aundiwe tume huyu, ana nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mgangaa anajua kupiga dekii na kusugua kiharagee, msingi wake ni kiunooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Diva anasema alifungwa akiliiii, woiiiiih
 
Mganga anaonesha kabisa shughuli anaijua, kitandani hana papara anapiga deki hadi mtaro, anajua kudekeza na kumfanya mwanamke afungue pochi ampe mihela, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Diva apige moyo konde ajipange kumsahau, asilete maneno mingi.
Dear sikuweziii wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mgangaa anajua kupiga dekii na kusugua kiharagee, msingi wake ni kiunooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Diva anasema alifungwa akiliiii, woiiiiih
Ewaaa, msingi wake kiuno anakitumia vema,
Nasikia kaoa sugar mamy hiyo ndio imemuumiza shoga angu maskini anaona raha zake anashare na mwingine.
 
Ewaaa, msingi wake kiuno anakitumia vema,
Nasikia kaoa sugar mamy hiyo ndio imemuumiza shoga angu maskini anaona raha zake anashare na mwingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan alisema Faiza, kuwa mganga ana mwanamke mwingine, yeye mbibi alikataa na kumshambuliaa vikalii, kumbe kwelii.
 
Akati amesema alikua anapigwa na kudundwa vibaya had mimba yake imeharibika.
kama alikua akidundwa, sina comment mpya zaidi ya kubariki tu Alichokichagua.

Mahusiano ya kudundana siyapendi kabisa,ktk mahali mdomo wangu haunaga ushauri zaidi ya muwambia watu waachane ni pale nitapogundua kuna Kudundana, "for any reason"

Tuna haki ya kutofautiana ila sio kupigana.
 
Vijana hawana siri moyoni tena , wakigombana kidogo wanakimbilia kuujulisha umma vitu ambavyo hata havituhusu !! Yaache yafarakane tu

Maadili hakuna siku izi. Hata kama mnaachana , si vema kutangaza. No matter how mmekosana na mtu namna gani, kaeni myajenge au kama imekuwa mbaya haina haja ya matangazo. Watu watajua eventualy
 
Back
Top Bottom