Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Akubali tu kuwa kayumba wanaume hawachaguliwi kama midoli madukani[emoji1787]! Unakataa a real man unachagua mlamba lips. Diva tatizo linaanziaga kichwani
Diva alimkataa nan tena huyo mwanaume wa kueleweka?
 
Huyo huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mbona bwanaake wa kitambo, kammega mpk kachoka

Kaukalia sana maeneo ya upanga
Khaa! Sasa Gk alikua na hela ya kumtunza Diva au GK ndio alikua anatunzwa??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa utamfananisha na huyo boya mlamba lips.
Huyu mganga wa Diva alikua anatufanya wengine tuwaone wanaume zetu si lolote si chochote. Zile video zake kuwananga wanaume wenzake ati hawajui kutunza wanawake ajabu nae kakimbiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahah kwani vina muda basi
 
Khaa! Sasa Gk alikua na hela ya kumtunza Diva au GK ndio alikua anatunzwa??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wee acha tyuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Labda alimpendea kile kigugumizi, mengine bado sijaona kwa kweli
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Penzi linamea popote mama. Ila mkiachana sasa ndio unaanza kuwaza hivi pale nilifata nini?
 
Huyu mganga wa Diva alikua anatufanya wengine tuwaone wanaume zetu si lolote si chochote. Zile video zake kuwananga wanaume wenzake ati hawajui kutunza wanawake ajabu nae kakimbiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Toka mwanzo kalivyokua kanajipost insta khs mapenzi, nikaona hiki kijamaa kibaka ni kitendo cha muda tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maana hata wateja wake waliokua wanaenda kuwangia mahusiano yao, walitembezewa boloyanki sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23] eeh kazi 'kweri kweri'
 
Back
Top Bottom