Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo anamwambia mumewe au taarifa kwa umma.
Diva alimkataa nan tena huyo mwanaume wa kueleweka?Akubali tu kuwa kayumba wanaume hawachaguliwi kama midoli madukani[emoji1787]! Unakataa a real man unachagua mlamba lips. Diva tatizo linaanziaga kichwani
GK huyu Gwamaka wa East Coast Team?GK ndio real man?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
GK huyu Gwamaka wa East Coast Team?
Unataka kuniambia Diva hatongozwi kabisa.?Diva alimkataa nan tena huyo mwanaume wa kueleweka?
DuhHuyo huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona bwanaake wa kitambo, kammega mpk kachoka
Kaukalia sana maeneo ya upanga
Khaa! Sasa Gk alikua na hela ya kumtunza Diva au GK ndio alikua anatunzwa??Huyo huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona bwanaake wa kitambo, kammega mpk kachoka
Kaukalia sana maeneo ya upanga
Sasa utamfananisha na huyo boya mlamba lips.GK ndio real man?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda aliona katika wote mganga wake ndio anamfaa [emoji23][emoji23][emoji23]Unataka kuniambia Diva hatongozwi kabisa.?
Huyu mganga wa Diva alikua anatufanya wengine tuwaone wanaume zetu si lolote si chochote. Zile video zake kuwananga wanaume wenzake ati hawajui kutunza wanawake ajabu nae kakimbiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa utamfananisha na huyo boya mlamba lips.
Hahahah kwani vina muda basiHuyu mganga wa Diva alikua anatufanya wengine tuwaone wanaume zetu si lolote si chochote. Zile video zake kuwananga wanaume wenzake ati hawajui kutunza wanawake ajabu nae kakimbiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Khaa! Sasa Gk alikua na hela ya kumtunza Diva au GK ndio alikua anatunzwa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa utamfananisha na huyo boya mlamba lips.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Penzi linamea popote mama. Ila mkiachana sasa ndio unaanza kuwaza hivi pale nilifata nini?Wee acha tyuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda alimpendea kile kigugumizi, mengine bado sijaona kwa kweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bro unazingua sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
GK kweli?
Huyu mganga wa Diva alikua anatufanya wengine tuwaone wanaume zetu si lolote si chochote. Zile video zake kuwananga wanaume wenzake ati hawajui kutunza wanawake ajabu nae kakimbiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] eeh kazi 'kweri kweri'Toka mwanzo kalivyokua kanajipost insta khs mapenzi, nikaona hiki kijamaa kibaka ni kitendo cha muda tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maana hata wateja wake waliokua wanaenda kuwangia mahusiano yao, walitembezewa boloyanki sana
Ila alivyokuwa anavimba sasa kwa video zake 🤣 hadi Diva akanasaHuyu jamaa na mie nilimwomaga tu kitambo. Ni tapeli waa kutupwa hana lolote. Kazi yake kulamba lips tu