Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Hili swali lako ni kama umetoroka milembe au umekata kamba au umetoroka walipokuanika asubuhSorry, Kwa Mfano ikitokea Baba yako amefariki akamwacha Mama yako akiwa mjane, humsalimii Mama yako? 🤣
Sawa yote yanawezekana, ila linahitaji jibuHili swali lako ni kama umetoroka milembe au umekata kamba au umetoroka walipokuanika asubuh
Unashindwa kutofautisha singo maza na mjane hadi umri huo? Kameza dawa zako harakaSawa yote yanawezekana, ila linahitaji jibu
Mjane pia ni single motherUnashindwa kutofautisha singo maza na mjane hadi umri huo? Kameza dawa zako haraka
Sina ugomvi nao personalMkuu wewe na single maza kaeni chini myamalize
Sasa shida ni gani man? Waache mkuu waishi kwa amani, ni watu poa mbonaSina ugomvi nao personal
Kwel we KubwajingaMjane pia ni single mother
Kwanini upangiwe nani wa kua nae, je upendo wa kweli unaangalia hayo?Nichukulie mfano mm mwnyw, mm sina mtoto kabisa, vp n sahihi kuwa na single mother?
Chochote kitakachoandikwa lazima kuna kundi la watu litaguswa. Kwahiyo tunaongelea yanayojiri mtaani kwa ujumla wake. Hatumshambulii mtu mmoja mmojaSasa shida ni gani man? Waache mkuu waishi kwa amani, ni watu poa mbona
Yaan jana tu nimetoka kula biriyani kwenye ndoa ya single maza ana watoto wawili, wiki ijayo nina mualiko mwengine kwenye ndoa ya single mama ana mtoto mmoja, hizi kelele zipo jamii forum tu mtandao unaongoza kwa wasomi wasio na ajira basi wana makasiriko kama wana vijipu uchungu vya kwapa.Ndio maana mimi huwa nawshangaa hizi habari zao za kujilisha faraja mitandaoni kumbe wanateseka kisaikolojia! Wanaolewa sana haohao mnaowaita singo mazaz tuwafahamishe tu!
Toa pendekezo lako, acha kuzunguka mbuyu. Tuseme single mothers hawana kipengere. Huyo alietaji mchango wako ni mdogo au mtoto wako. Yeye hana mtoto anataka kuoa single mother. Mpe ushauri kama dada au mamaKwanini upangiwe nani wa kua nae, je upendo wa kweli unaangalia hayo?
Na hii sababu ndio inayowafanya waolewe sana, nimefanya tafiti isiyo rasmi nimegundua wanaume wengi hua wanapenda utulivu kwa mwanamke ambaye ameshamaliza dhoruba zote, maisha yashamnyoosha akipata mwenza (mstiri wanasema) basi anashikilia ipasavyo hakuna kesi kwa wazazi wala wazee wa diniMm napenda mahusiano na SM sbb mara nyingi amepitia changamoto mbalimbali za maisha na anaweza kuwa na mtazamo wa ukomavu katika mahusiano.
Nizunguke nini sasa, kama wamependana mimi ni nani niweke pingamizi kwa ajili ya watoto? Seriously! watoto ambao utaishi nao muda mfupi tu wakishamaliza masomo kila mmoja anaenda zake kujitegemea yaani watoto kiwe kikwazo cha wewe kua na mwenza wako hiyo ni roho ya kimaskini sana, sikia nikwambie katika haya maisha acha kabisa kubagua watoto atakayekuja kukufaa uzeeni hutomjua, kizazi chako kinaweza kukusaliti ukaja kustiriwa na watoto wa wenzio, acha kabisa roho mbaya kwa watoto, yaani dah nakuhurumia sana kwa hiyo mentality yako, kumbe shida ni watoto!!! una safari ndefu sana. ptuuhToa pendekezo lako, acha kuzunguka mbuyu. Tuseme single mothers hawana kipengere. Huyo alietaji mchango wako ni mdogo au mtoto wako. Yeye hana mtoto anataka kuoa single mother. Mpe ushauri kama dada au mama
Sawa mkuu, ila mnawaandama sana utafikiri walizaliswa na vibratorChochote kitakachoandikwa lazima kuna kundi la watu litaguswa. Kwahiyo tunaongelea yanayojiri mtaani kwa ujumla wake. Hatumshambulii mtu mmoja mmoja
Acha watoe sumu, mtu kama una furaha huwezi kupoteza muda kwa vitu visivyogusa maisha yako kwa namna yoyote ile! Hail live the singo mamaz in town!Yaan jana tu nimetoka kula biriyani kwenye ndoa ya single maza ana watoto wawili, wiki ijayo nina mualiko mwengine kwenye ndoa ya single mama ana mtoto mmoja, hizi kelele zipo jamii forum tu mtandao unaongoza kwa wasomi wasio na ajira basi wana makasiriko kama wana vijipu uchungu vya kwapa.
Ongea tu, ila huo ndio ukweli...Mwanamke aidha akifiwa na Mumewe au akitalikiwa na mwisho wa siku akabaki peke yake ni Single Mother.Kwel we Kubwajinga
Kuongea ni rahisi sana kama hiyo situation haijafika kwenye familia yako. Kaka au mtoto wako ambae hana mtoto akiamua kuoa single mother nina uhakika deep down hautafurahi. Utalazimika kuheshimu tu maamuzi yake.Nizunguke nini sasa, kama wamependana mimi ni nani niweke pingamizi kwa ajili ya watoto? Seriously! watoto ambao utaishi nao muda mfupi tu wakishamaliza masomo kila mmoja anaenda zake kujitegemea yaani watoto kiwe kikwazo cha wewe kua na mwenza wako hiyo ni roho ya kimaskini sana, sikia nikwambie katika haya maisha acha kabisa kubagua watoto atakayekuja kukufaa uzeeni hutomjua, kizazi chako kinaweza kukusaliti ukaja kustiriwa na watoto wa wenzio, acha kabisa roho mbaya kwa watoto, yaani dah nakuhurumia sana kwa hiyo mentality yako, kumbe shida ni watoto!!! una safari ndefu sana. ptuuh
Nadhani huyu ndio yule anayekuonesha kaburi la mwenzioMjane pia ni single mother
Kwamba mwanamke aliyezalishwa na kuachwa ndo amemaliza dhuruba na ametulia?Na hii sababu ndio inayowafanya waolewe sana, nimefanya tafiti isiyo rasmi nimegundua wanaume wengi hua wanapenda utulivu kwa mwanamke ambaye ameshamaliza dhoruba zote, maisha yashamnyoosha akipata mwenza (mstiri wanasema) basi anashikilia ipasavyo hakuna kesi kwa wazazi wala wazee wa dini