DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

Single mother wote wakiingia kwenye mahusiano mapya huwa hawawaongelei vizuri wazazi wenzao. Hauwezi kusikia anasema "baba mtoto yupo anampenda na kumjali sana mwanae" . Mara zote utasikia "hata sijui yupo wapi. Atajua mwenyewe na maisha yake"
Nimewiwa kucomment paragraph ya kwanza kabisa, we jamaa Una uzoefu mkubwa Sana, very practical😄😄
 
Perfect
 
Kwa hiyo kama alizaa na Yule na Leo akazaa na Mimi Mume Mpya si maana yake anatupenda sote? Basi hakuna shida
 
Hamna mahaka mmepangiwa, avois hast generalizations! Sio kila aliye na mtoto kazaa na fala, mambo hapo katikati ni mengi sana!
Uko Sawa lakini majority ni ujeuri, ujuaji na kukurupuka

Unaweza kuniambia kwanini walioachana huwa wanarudiana hata kwa kujificha na ndio maana watu wanaogopa kuwaoa? Ni kwa sababu Wanaachana kwa sababu ndogo ndogo zenye ujeuri na ujuaji. Baadae wakisha separate kwa miaka miwili mitatu wanakuja ku realize kwamba walikosea wanatamani chance tena. Wakikutana wanakulana siku hiyo hiyo
 
Duhh hapo kwei kuna ka ujinga! Nimekuelewa mkuu!
 
Unaweza kuwa ni single mother na still ukawa umewahi kutoa mimba, Mwanamke anamzalia mwanaume anayempenda au mwenye uchumi mzuri
 
Kuwa single mother haijustify kuwa Huna history ya kutoa mimba sijui nani Natafuta Ajira kawaaminisha eti ukiwa hauna mtoto wewe umetoa mimba alafu ukiwa single mother unakuwa mtu ambaye hujawi kutoa mimba Mfano mzuri ni ex wangu ambaye alikuwa single mother aliniambia kabisa kuwa kabla ajazaa aliwahi kutoa mimba na wakati nipo nae aliwahi kunicheat na akapewa mimba na mtu mwingine alafu akaitoa ile mimba na Mimi nilijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…