DOKEZO Diwani Athuman kuondolewa TISS mwishoni mwa 2022. Mikutano ya Vyama vya Siasa kuruhusiwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Yaan umejiita Anonymous Guest ili tusikujue na a/c yako imepigwa lock na JF, sawa uwe unatuletea taarifa zingine kutoka huko jikoni sasa, naona taarifa zitakuwa zinavuja sio kawaida.
Huu uzi ni questionable

Umetumwa 2 Dec. 2022 ambayo ilikuwa siku ya Ijumaa, mchangiaji wa kwanza na wengine waliofuata wakachangia Wednesday siku isiyo na tarehe

Utabiri bora kabisa
 
2 Dec. 2022 hadi Wedn isiyo na tarehe kuna mchezo gani ulifanyiika?
Je ni uzi ulifungiwa?
Sielewi vizuri hapa

Huko Ni kubahatisha ndo Mana jf hawataki nyuzi za kipumbavu kila mtu Ni nabii
 
Kwani hi post yako imeeka tarehe au muda tu do kadhaa ago
Soma tarehe na siku ya uzi ulipopostiwa kisha soma mchangiaji wa kwanza alichangia lini na kwa utaratibu wa JF kila post ina tag ya tarehe
 
Soma tarehe na siku ya uzi ulipopostiwa kisha soma mchangiaji wa kwanza alichangia lini na kwa utaratibu wa JF kila post ina tag ya tarehe
Jf haina utaratibu kwamba uzi Ni lazima uchangiwe? Ulipostiwa hakuna aliechangia Hadi jtano na Ni juzi haiwezi weka tarehe

Hata simu yako Kama missed call haijamaliza masaa 24 huwa inaandika masaa tu ya hio missed call yakifika 24hrs inaanza andika 1 day ago, 2 days ago kuendelea mpaka siku flani ndo inaanza weka tarehe

Ni kitu simple Sana mbona hiko
 
Jf haina utaratibu kwamba uzi Ni lazima uchangiwe? Ulipostiwa hakuna aliechangia Hadi jtano na Ni juzi haiwezi weka tarehe
Sijawahi kuona uzi sensitive kama huu ukawe bila mchangiaji kwa kipindi kirefu hivyo, tangu 2 Dec mpaka juzi, anyway silazimmishi hoja yangu lakini ninakitu najiuliza kinakosa majibu
 
Sijawahi kuona uzi sensitive kama huu ukawe bila mchangiaji kwa kipindi kirefu hivyo, tangu 2 Dec mpaka juzi, anyway silazimmishi hoja yangu lakini ninakitu najiuliza kinakosa majibu
Kitu gani unachojiuliza

Kuna mawili either wali u ignore hivo ukawa hautokei kwa juu juu kwenye trending nk
Au moderator waliu ushusha juzi wakaamua upandisha tena
 
Sijawahi kuona uzi sensitive kama huu ukawe bila mchangiaji kwa kipindi kirefu hivyo, tangu 2 Dec mpaka juzi, anyway silazimmishi hoja yangu lakini ninakitu najiuliza kinakosa majibu

Wachache sana watakuelewa
 
Wana teua. Vimada wa maboss kushika nyazifa. Nzito kitaifa , and hence we back on trending............ Nyingine inakuja

..TUSIJE SHANGAA MGOMBEA WA CCM WA URAISI NI """MLOPOKAJI """JUNIOR

HENCE. POST HII IWEKWE KATIKA HISTORIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…