CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Mbona mi niliuona sana? Sema haukupata michangoHuu uzi inaonekana Jf waliuzuia kwanza ndo mana umeonekana baada ya kuwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mi niliuona sana? Sema haukupata michangoHuu uzi inaonekana Jf waliuzuia kwanza ndo mana umeonekana baada ya kuwa kweli
Huu uzi ni questionableYaan umejiita Anonymous Guest ili tusikujue na a/c yako imepigwa lock na JF, sawa uwe unatuletea taarifa zingine kutoka huko jikoni sasa, naona taarifa zitakuwa zinavuja sio kawaida.
Acc yake haifunguki maana yake ndo ban la maisha au vpYaan umejiita Anonymous Guest ili tusikujue na a/c yako imepigwa lock na JF, sawa uwe unatuletea taarifa zingine kutoka huko jikoni sasa, naona taarifa zitakuwa zinavuja sio kawaida.
Chanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya Serikali yake.
Chanzo hiki kimenieleza pia kuwa mabadiliko zaidi yatafanywa kimkakati na kuna watakaoondoka na maji hivi karibuni.
Pia chanzo hiki kimeniambia Katiba Mpya iko njiani. Samia anataka aache legacy hii. Pamoja na hilo, ataruhusu kwa haraka mikutano ya vyama vya siasa ikiwa ni ishara ya kukubali maridhiano yaliyokuwa yakitafutwa kwa muda sasa.
Kama haya yatakuwa ya kweli, Samia atakuwa amejiongezea credit kisiasa lakini anaweza kuwa anatengeneza pia kundi jipya linaloweza kumsumbua baadae.
Huko Ni kubahatisha ndo Mana jf hawataki nyuzi za kipumbavu kila mtu Ni nabiiUtata ni kuwa huyu jamaa aliyepost ni nani, bila Shaka atakuwa ni mtu wa cybercrime, kuna mwamba pia alishawahi kupost humu zamani Sana kipind cha JK kuwa Rais atakayefata ni Magufuli Ila hatafika 2023, badala yake atatawala mwanamke na yeye sijui ataishia wap wapi... Halafu jamaa alipotea mpaka Leo, Uzi wenyewe sijui JamiiForums walipita nao
Kwani hi post yako imeeka tarehe au muda tu do kadhaa ago2 Dec. 2022 hadi Wedn isiyo na tarehe kuna mchezo gani ulifanyiika?
Je ni uzi ulifungiwa?
Sielewi vizuri hapa
View attachment 2470378
Soma tarehe na siku ya uzi ulipopostiwa kisha soma mchangiaji wa kwanza alichangia lini na kwa utaratibu wa JF kila post ina tag ya tareheKwani hi post yako imeeka tarehe au muda tu do kadhaa ago
Jf haina utaratibu kwamba uzi Ni lazima uchangiwe? Ulipostiwa hakuna aliechangia Hadi jtano na Ni juzi haiwezi weka tareheSoma tarehe na siku ya uzi ulipopostiwa kisha soma mchangiaji wa kwanza alichangia lini na kwa utaratibu wa JF kila post ina tag ya tarehe
Sijawahi kuona uzi sensitive kama huu ukawe bila mchangiaji kwa kipindi kirefu hivyo, tangu 2 Dec mpaka juzi, anyway silazimmishi hoja yangu lakini ninakitu najiuliza kinakosa majibuJf haina utaratibu kwamba uzi Ni lazima uchangiwe? Ulipostiwa hakuna aliechangia Hadi jtano na Ni juzi haiwezi weka tarehe
Kitu gani unachojiulizaSijawahi kuona uzi sensitive kama huu ukawe bila mchangiaji kwa kipindi kirefu hivyo, tangu 2 Dec mpaka juzi, anyway silazimmishi hoja yangu lakini ninakitu najiuliza kinakosa majibu
It all possible Tena utakuta Ni ile thread yngu walitutagaKwanini isiwe JF wameandika uzi kwa kurudisha tarehe nyuma? Au kuedit uzi mmoja waliofuta kwa tarehe hiyo?
Kwani hiyo haiwezekani
Sijawahi kuona uzi sensitive kama huu ukawe bila mchangiaji kwa kipindi kirefu hivyo, tangu 2 Dec mpaka juzi, anyway silazimmishi hoja yangu lakini ninakitu najiuliza kinakosa majibu
Wam ban halafu uzi uendelee ku survive!!!🤣Acc yake haifunguki maana yake ndo ban la maisha au vp
👍🤜🤛🙏Wachache sana watakuelewa
Wam ban halafu uzi uendelee ku survive!!!🤣