tatizo alianza kumdukua hadi maza, ndo kimemponzamo - pia kumbukeni hii ndiyo ilikuwa timu ya Maza asiwe Ikulu. Wengine washagiwa tayari.Inaelekea mleta mada aliachiwa na Magufuli vifaa vya kudukulia wenzi e hapo Magogoni au kaazima vidukuzio vya Mr kigogo, hata hivyo suala la katiba mpya naona kwa CCM ni sawa na kuruhusu kifo chao kamwe hawatamwacha yatajirudia ya Aboud Jumbe
Kama hakubaliki waulize chadema na ccm ya samia kwanini hadi sasa marehemu ni jinamizi kwao ....magufuli alikubalika dunia nzima ...acha kumfananisha magufuli na hizi mafii yaya kukuMaelezo marefu lakini ujinga mtupu. Kama Magufuli ni mzalendo na alikuwa anakubalika, kwanini yeye ndio alipora uchaguzi kimachomacho kuliko rais mwingine yoyote?
Inategemea na aina ani ya siri.Hazikuwahi kuacha kuvuja. Zilikuwa zinasambaa kama kawaida.
Kama hakubaliki waulize chadema na ccm ya samia kwanini hadi sasa marehemu ni jinamizi kwao ....magufuli alikubalika dunia nzima ...acha kumfananisha magufuli na hizi mafii yaya kuku
Inategemea na aina ani ya siri.
Alipo teuliwa Diwani Athuman ulijua kabla mtangulizi wake anaondolewa/anaondoka kwenye nafasi hiyo wiki chache kabla ya tukio?
Hili jambo ni nyeti kiasi kwamba inakuwa ngumu kukupa ufafanuzi mwingine maana naweza jikuta matatani kisheria.Siri za maana huko serikalini ni kuondolewa tu hao watu?
Niligeuza kiswahili kikawa chini juu uzi ukafutwa baada ya wao kuona hawaelewi ila Kuna watu wanachangia pia lugha hio hioSiku ingine muwe mnatumia coded language ili kuwapiga chenga ya mwili hawa mode wasizuie nyuzi zenu
Kweli mlimpatia KULA ila kwenye upande wa KURA alipora na ukitoa mazezeta yasiyojielewa kila mwenye akili timamu anajua ukweli huo.Ukweli hata chadema wanajua kuwa jpm alikuwa kakubalika kabisa uchsguzi ulio fisidiwa ni 2015 kwa sababu yule mzee wa baba fisadi mama kahaba ..mtoto ansuza ngada alikuwa hakubaliki ...ila 2025 wote tulimpatia kula jpm kwa sasabu ni mzalendo siyo huyu muhuni ambaye kwake uzalendo ni mavi.
Hitler mpaka leo ni jinamizi, nadhani naye alikubalika dunia nzima.Kama hakubaliki waulize chadema na ccm ya samia kwanini hadi sasa marehemu ni jinamizi kwao ....magufuli alikubalika dunia nzima ...acha kumfananisha magufuli na hizi mafii yaya kuku
Yaan umejiita Anonymous Guest ili tusikujue na a/c yako imepigwa lock na JF, sawa uwe unatuletea taarifa zingine kutoka huko jikoni sasa, naona taarifa zitakuwa zinavuja sio kawaida.
Tatizo huna akiliKwanini isiwe JF wameandika uzi kwa kurudisha tarehe nyuma? Au kuedit uzi mmoja waliofuta kwa tarehe hiyo?
Kwani hiyo haiwezekani
Unajipatia dhambi kwa kusema uongo!Ukweli hata chadema wanajua kuwa jpm alikuwa kakubalika kabisa uchsguzi ulio fisidiwa ni 2015 kwa sababu yule mzee wa baba fisadi mama kahaba ..mtoto ansuza ngada alikuwa hakubaliki ...ila 2025 wote tulimpatia kula jpm kwa sasabu ni mzalendo siyo huyu muhuni ambaye kwake uzalendo ni mavi.
Hili jambo ni nyeti kiasi kwamba inakuwa ngumu kukupa ufafanuzi mwingine maana naweza jikuta matatani kisheria.
Ngoja nijaribu kujilipua: Mfano kuna jambo system wameona jambo flani baya linafanywa na mamlaka ya juu na wakishauri lisifanyike hivyo au wakipewa amri walifanye lakini hawataki inabidi wakubali. Lakini kabla halijafanyika wanaona bora wavujishe kwa umma ili mamalaka ilazimike kusitisha (abort the mission) kisha wao wanakuwa wamelisaidia taifa lao bila kuingia matatani kama 'insubordinate' kwa mamlaka kwa kukataa kutekeleza amri au agizo.
Siri zingine huvujishwa kwa makusudi na sehemu ya wahusika kuokoa jambo baya lisitendeke au lisiendelee hasa kwa kioingozi mkali au asiyetaka kukubali kirahisi mawazo/ushauri ya/wa wasaidizi wake kimamlaka.
Hahaha, labda robot a.k.a Invisible karudi kivingine!Ushawahi kuona member anapigwa ban account inakua kwenye hiyo state? Vinginevyo ni ban za Mandonga mtu kazi.
Hahaha, labda robot a.k.a Invisible karudi kivingine!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app