DOKEZO Diwani Athuman kuondolewa TISS mwishoni mwa 2022. Mikutano ya Vyama vya Siasa kuruhusiwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Inaelekea mleta mada aliachiwa na Magufuli vifaa vya kudukulia wenzi e hapo Magogoni au kaazima vidukuzio vya Mr kigogo, hata hivyo suala la katiba mpya naona kwa CCM ni sawa na kuruhusu kifo chao kamwe hawatamwacha yatajirudia ya Aboud Jumbe
tatizo alianza kumdukua hadi maza, ndo kimemponzamo - pia kumbukeni hii ndiyo ilikuwa timu ya Maza asiwe Ikulu. Wengine washagiwa tayari.
 
Maelezo marefu lakini ujinga mtupu. Kama Magufuli ni mzalendo na alikuwa anakubalika, kwanini yeye ndio alipora uchaguzi kimachomacho kuliko rais mwingine yoyote?
Kama hakubaliki waulize chadema na ccm ya samia kwanini hadi sasa marehemu ni jinamizi kwao ....magufuli alikubalika dunia nzima ...acha kumfananisha magufuli na hizi mafii yaya kuku
 
Hazikuwahi kuacha kuvuja. Zilikuwa zinasambaa kama kawaida.
Inategemea na aina ani ya siri.
Alipo teuliwa Diwani Athuman ulijua kabla mtangulizi wake anaondolewa/anaondoka kwenye nafasi hiyo wiki chache kabla ya tukio?
 
Siri za maana huko serikalini ni kuondolewa tu hao watu?
 
Hili jambo ni nyeti kiasi kwamba inakuwa ngumu kukupa ufafanuzi mwingine maana naweza jikuta matatani kisheria.
Ngoja nijaribu kujilipua: Mfano kuna jambo system wameona jambo flani baya linafanywa na mamlaka ya juu na wakishauri lisifanyike hivyo au wakipewa amri walifanye lakini hawataki inabidi wakubali. Lakini kabla halijafanyika wanaona bora wavujishe kwa umma ili mamalaka ilazimike kusitisha (abort the mission) kisha wao wanakuwa wamelisaidia taifa lao bila kuingia matatani kama 'insubordinate' kwa mamlaka kwa kukataa kutekeleza amri au agizo.

Siri zingine huvujishwa kwa makusudi na sehemu ya wahusika kuokoa jambo baya lisitendeke au lisiendelee hasa kwa kioingozi mkali au asiyetaka kukubali kirahisi mawazo/ushauri ya/wa wasaidizi wake kimamlaka.
 
Ukweli hata chadema wanajua kuwa jpm alikuwa kakubalika kabisa uchsguzi ulio fisidiwa ni 2015 kwa sababu yule mzee wa baba fisadi mama kahaba ..mtoto ansuza ngada alikuwa hakubaliki ...ila 2025 wote tulimpatia kula jpm kwa sasabu ni mzalendo siyo huyu muhuni ambaye kwake uzalendo ni mavi.
Kweli mlimpatia KULA ila kwenye upande wa KURA alipora na ukitoa mazezeta yasiyojielewa kila mwenye akili timamu anajua ukweli huo.
 
Kama hakubaliki waulize chadema na ccm ya samia kwanini hadi sasa marehemu ni jinamizi kwao ....magufuli alikubalika dunia nzima ...acha kumfananisha magufuli na hizi mafii yaya kuku
Hitler mpaka leo ni jinamizi, nadhani naye alikubalika dunia nzima.
 
Ukweli hata chadema wanajua kuwa jpm alikuwa kakubalika kabisa uchsguzi ulio fisidiwa ni 2015 kwa sababu yule mzee wa baba fisadi mama kahaba ..mtoto ansuza ngada alikuwa hakubaliki ...ila 2025 wote tulimpatia kula jpm kwa sasabu ni mzalendo siyo huyu muhuni ambaye kwake uzalendo ni mavi.
Unajipatia dhambi kwa kusema uongo!
 
Hili jambo ni nyeti kiasi kwamba inakuwa ngumu kukupa ufafanuzi mwingine maana naweza jikuta matatani kisheria.
Ngoja nijaribu kujilipua: Mfano kuna jambo system wameona jambo flani baya linafanywa na mamlaka ya juu na wakishauri lisifanyike hivyo au wakipewa amri walifanye lakini hawataki inabidi wakubali. Lakini kabla halijafanyika wanaona bora wavujishe kwa umma ili mamalaka ilazimike kusitisha (abort the mission) kisha wao wanakuwa wamelisaidia taifa lao bila kuingia matatani kama 'insubordinate' kwa mamlaka kwa kukataa kutekeleza amri au agizo.

Siri zingine huvujishwa kwa makusudi na sehemu ya wahusika kuokoa jambo baya lisitendeke au lisiendelee hasa kwa kioingozi mkali au asiyetaka kukubali kirahisi mawazo/ushauri ya/wa wasaidizi wake kimamlaka.

Hamna lolote boss, haohao wakipewa ulaji ndio hugeuka kutekeleza mikakati ya uovu. Kwa katiba hii hakuna lolote watafanya hata wakivujisha. Waungane kudai katiba mpya itakayopunguza madaraka makubwa ya rais kuamua chochote.
 
Jamani kumbe mna taarifa muhimu hivyo,haya tunasubiri utupe na za mzee wa tozo.
 
Back
Top Bottom