DOKEZO Diwani Athuman kuondolewa TISS mwishoni mwa 2022. Mikutano ya Vyama vya Siasa kuruhusiwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nadhani kilichouwa magazeti ni serikali.
Yalibanwa sana.Wakiandika habari za ukweli wanafungiwa.

Habari za magazeti kwa sasa nyingi zimechachuliwa na kuchujwa sana.

Na ndio maana hata taarifa za habari watu hawaangalii tena.
Sio serikali ni technology tuu, mtu Una breaking news mkononi , makala zote zipo mkononi , kila kitu unachokitaka unakipata mkononi ya nini uhangaike na magazeti ambayo waandishi wake hao hao wamo humu kuokoteleza taarifa... Hata kuyapata inabd uende Kwa wauza magazeti ukawatafte
 
Kuanzia tarehe uliyoweka bandiko lako hakuna aliyekuelewa mpaka 'ulipoeleweka'...kudos
 
Ilikuwa bonge la uzi. Siku moja nilitafuta sikuuona tena mpaka leo
 
Deepstate hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…