MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Sisi NDIO SISI HONGERA SANA MDAU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio serikali ni technology tuu, mtu Una breaking news mkononi , makala zote zipo mkononi , kila kitu unachokitaka unakipata mkononi ya nini uhangaike na magazeti ambayo waandishi wake hao hao wamo humu kuokoteleza taarifa... Hata kuyapata inabd uende Kwa wauza magazeti ukawatafteNadhani kilichouwa magazeti ni serikali.
Yalibanwa sana.Wakiandika habari za ukweli wanafungiwa.
Habari za magazeti kwa sasa nyingi zimechachuliwa na kuchujwa sana.
Na ndio maana hata taarifa za habari watu hawaangalii tena.
Nadhani Mods waliifunga, haikua na comment hata Moja....oya wadau hii kitu ilipostiwa december 2 mwaka 2022 halafu yametimia.. huyu aliyepost yeye ni nani?
halafu hii post ndo naiona leo asee
Hahaha 😂Mleta mada ni guest, najiuliza guest aliwezaje kuandika thread.
Huu uzi inaonekana Jf waliuzuia kwanza ndo mana umeonekana baada ya kuwa kweliPoint of correction!!
Uzi haukuchangiwa kabisa. coment ya pili imepostiwa Leo(5hrs ago)
[emoji1787]
Kuanzia tarehe uliyoweka bandiko lako hakuna aliyekuelewa mpaka 'ulipoeleweka'...kudosChanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya serikali yake.
Chanzo hiki kimenieleza pia kuwa mabadiliko zaidi yatafanywa kimkakati na kuna watakaoondoka na maji hivi karibuni.
Pia chanzo hiki kimeniambia Katiba Mpya iko njiani. Samia anataka aache legacy hii. Pamoja na hilo, ataruhusu kwa haraka mikutano ya vyama vya siasa ikiwa ni ishara ya kukubali maridhiano yaliyokuwa yakitafutwa kwa muda sasa.
Kama haya yatakuwa ya kweli, Samia atakuwa amejiongezea credit kisiasa lakini anaweza kuwa anatengeneza pia kundi jipya linaloweza kumsumbua baadae.
Haujachangiwa kabisa. Nashawishika kuamini uzi uliandikwa lakini haukuruhusiwa mpaka imetokea baadhi ya yalioandikwa.Alafu uzi ulichangiwa kidogo kumbe ndio umejaa facts
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Umeona mkuu?Huu Uzi una UTATA Mwingi mno.
Anyway yametimia
Nami naanza kumuamini !! Lakini ngoja Tusubiri tuone !!Hakuna kama Samia
Kali mnoMkuu
Kumbe na zile taarifa za JF kuunda mtandao wake 2025 ni kweli!?
Kama ni hivyo. Basi mama atacheza kama Pele!!!
Lakini MATOKEO ya uNEC ni chenga kali Sana kwao!!
Mungu IBARIKI TANZANIA NCHI yetu!
Inawezekana !!Tanzania Mpya ya matumaini mapya
Ilikuwa bonge la uzi. Siku moja nilitafuta sikuuona tena mpaka leoUtata ni kuwa huyu jamaa aliyepost ni nani, bila Shaka atakuwa ni mtu wa cybercrime, kuna mwamba pia alishawahi kupost humu zamani Sana kipind cha JK kuwa Raisi atakayefata ni Magufuli Ila hatafika 2023 , badala yake atatawala mwanamke , na yeye sijui ataishia wap wap ... Halafu jamaa alipotea mpaka Leo, Uzi wenyewe sijui jamii forums walipita nao
Huyu inawezekana aliingia kama member lakini kutokana na uzito wa hoja yake ikabidi wambadili kuwa guest ili kulinda afya yake.Mleta mada ni guest, najiuliza guest aliwezaje kuandika thread.
Nyuzi nyingi zinazotoa ukweli haziguswi na watu, hadi kitokeeHalafu uzi ulichangiwa kidogo kumbe ndio umejaa facts
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Deepstate haoUtata ni kuwa huyu jamaa aliyepost ni nani, bila Shaka atakuwa ni mtu wa cybercrime, kuna mwamba pia alishawahi kupost humu zamani Sana kipind cha JK kuwa Rais atakayefata ni Magufuli Ila hatafika 2023, badala yake atatawala mwanamke na yeye sijui ataishia wap wapi... Halafu jamaa alipotea mpaka Leo, Uzi wenyewe sijui JamiiForums walipita nao