DOKEZO Diwani Athuman kuondolewa TISS mwishoni mwa 2022. Mikutano ya Vyama vya Siasa kuruhusiwa

DOKEZO Diwani Athuman kuondolewa TISS mwishoni mwa 2022. Mikutano ya Vyama vya Siasa kuruhusiwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
CCM kwenye MAKARATASI na KATIBA ilisukwa vizuri sana,

Nilisema Nchi Hii tutapata KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA Kwa AMANI.

Na itakamolika 2026.

TINDO aelimishwe maana Yeye anaamini njia ya machafuko,

Mungu ibariki TANZANIA. Aamen.
 
Chanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya Serikali yake.

Pia chanzo hiki kimeniambia Katiba Mpya iko njiani. Samia anataka aache legacy hii. Pamoja na hilo, ataruhusu kwa haraka mikutano ya vyama vya siasa ikiwa ni ishara ya kukubali maridhiano yaliyokuwa yakitafutwa kwa muda sasa.
Hands up!, nimekunyanyulia mikono.
P
 
Back
Top Bottom