Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

Status
Not open for further replies.
Huyu RPC wa sasa wa kanda maalumu ya DSM Mimi naona ndiye mtu sahihi kuwa next IGP
 
Hamduni hafai kuwa DG PCCB coz kila Taasisi Ina culture yake kapwaya Sana Hana performance yoyote 2 yr now tunaona na kusikia better alipokuwa Mej Gen Mbung'o polisi dili tu ndo maana PCCB now imeyumba vinginevyo wamrudishe Hosseah ndiye aliiweza mbobezi wa Sheria Sasa muda umepita kuendesha vyombo vya kiuchunguzi na watu waliosoma BA Nutrition
 
Safari hii lazima boss wa TISS awe mwanamke
 
Du nyerere aliwachagua wakristo watupu
 
Ukiwa unaitwa Mohamed au Athuman hata kama huna sifa,utateuliwa ktk nafasi yoyote.Tunakoelekea siyo kuzuri.Baba wa taifa alikuwa hapendi kabisa mambo ya udini na ukabila.
Huyo baba yako wa taifa ndio muasisi wa udini Tanzania wakurugenzi wake wa tiss wote wakrsto
 
Tatizo kubwa si mtu TOP wa Polisi,au IGP.
Tatizo ni dysfunctional system ya jeshi.
Jeshi lenyewe halina checks and balances.

Maafisa wa Polisi are running amok kwa uhalifu na utajiri wa haraka haraka.
Vijana wa chini wanaiga kupora

Tatizo ni kubwa kuliko nani wawe IGP.
 
Lete Namba ya Suzy Mkuu
Mkuu Bramo , huyo Suzy, sio tuu ni binti wa Mama Kamm, bali Mama yake mzazi ni Jaji Mstaafu Salome Kaganda aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi, huyu mama ni Mama Maadili mpaka kwenye damu, hivyo wamelelewa kimaadili, hivyo ili kukusaidia to save ya voucher na time, sikupi namba yake to help you na maimivu, utajisumbua bure na kuishia kuumia bure.

Kama unamtafuta kikazi, nenda kituo chochote cha polisi, number za maofisa wote zipo ila lazima utoe maelezo kidogo unamtafutia nini!.
P.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…