Swadakta. Wote ni nduguQn: Mal Islam?
Ans: Al-islam huadin ulladhy baa Sallahu-bihi. Sayyidina Muhammad Salallahu Waleyh Wasalam.
Tafsiri:
Swali: Uislamu ni nini?
Jibu: Uislamu ni dini ambayo, Mwenyezi Mungu alimteremshia mtume wetu Muhammad Salallahu Waleyh Wasalam, kwa ajili yetu wanadam.
Usichanganye MI na TISS kuwa MI haikupi nafasi uwe mkurugenzi wa TISS. Huwezi kuwa mkurugenzi wa TISS bila kuwa TISS.Hawa ma pai wanaotokea polisi hamna kitu wote , kwa sasa iwe zamu ya military inteligence maana weledi wao siutilii shaka kabisa na nadhani hawajawahi kupepesa macho, hata wakati wa jiwe kuna wengi walijitahidi kujiweka mbali na siasa za maji taka na kutaka nchi irudi kwenye mstari, lakini ndio hivyo hawakuweza maana jiwe lilikua jiwe kweri kweri
Mkuu kwamba umeandika ili lisitokee au? 😁DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)
Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP)
Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa majina yaliyopendekezwa kuwa IGP ingawa lolote linaweza kutokea.
Nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mpya inaonekana inaweza kumwangukia Selemani Mombo ila inadaiwa kuna presha ya kutaka TPDF idara ya Military Intelligence ndiyo itoe Mkurugenzi safari hii.
Imetoka hapa DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa IGP - Imevuja!
Hawa ndo waliowahi kuwa Maboss wa Usalama wa Taifa yaani TISS;
Emilio Mzena (1961 to 1975),
Dr Lawrence Gama (1975-78)
Dr Hassy Kitine (1978-80).
Dr Augustine Mahiga (1980-83)
Lieutenant General Imrani Kombe (1983-1995).
Apson Mwang'onda (1995-2005)
Othman Rashid Othman (2005-2016).
Dk Modestus Kipilimba* (2016- 2019)
Diwani Athuman (2019-2022)
MY TAKE;
Kwa Nchi ilipofika, natamani SACP Susan Kaganda, ndo awe IGP Mpya
ambacho hutaki kuamini ni nini sasa kwenye nchi kama Bongo?Usichanganye MI na TISS kuwa MI haikupi nafasi uwe mkurugenzi wa TISS. Huwezi kuwa mkurugenzi wa TISS bila kuwa TISS.
Hapo huwezi ona mtu kutoka MI anakuwa DG wa TISS. Ingawa naamini kabisa kama atatoka JWTZ basi ni kati ya MAJENERALI WA JUU PALE KUANZIA MEJA JENERALI na ambaye hata hakuwa kitengo cha MI.
Lazma iwe hivyo huwenda pilau la pasaka likalika huku Tanzania ikiwa na DG mpya, namuona mpare hana furaha hapa dodoma huwenda keshapewa notice tayari 😅Mkuu kwamba umeandika ili lisitokee au? 😁
Ongeza na mtu mmoja, haongei sana ila nimtendaji kweli kweli RPC wa MISENYI kama sikosei, alikua Tanga ChatandaDGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)
Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP)
Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa majina yaliyopendekezwa kuwa IGP ingawa lolote linaweza kutokea.
Nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mpya inaonekana inaweza kumwangukia Selemani Mombo ila inadaiwa kuna presha ya kutaka TPDF idara ya Military Intelligence ndiyo itoe Mkurugenzi safari hii.
Imetoka hapa DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa IGP - Imevuja!
Hawa ndo waliowahi kuwa Maboss wa Usalama wa Taifa yaani TISS;
Emilio Mzena (1961 to 1975),
Dr Lawrence Gama (1975-78)
Dr Hassy Kitine (1978-80).
Dr Augustine Mahiga (1980-83)
Lieutenant General Imrani Kombe (1983-1995).
Apson Mwang'onda (1995-2005)
Othman Rashid Othman (2005-2016).
Dk Modestus Kipilimba* (2016- 2019)
Diwani Athuman (2019-2022)
MY TAKE;
Kwa Nchi ilipofika, natamani SACP Susan Kaganda, ndo awe IGP Mpya
Ila Magufuli alitudharau sana 😀Diwani ndio alikua anambebea Mahita mikoba kile kipindi tunaambiwa CUF ni chama cha magaidi wameingiza mapanga bandarini.
Ila waweza kuwa JWTZ na ukawa Mkuu wa MagerezaUsichanganye MI na TISS kuwa MI haikupi nafasi uwe mkurugenzi wa TISS. Huwezi kuwa mkurugenzi wa TISS bila kuwa TISS.
Hapo huwezi ona mtu kutoka MI anakuwa DG wa TISS. Ingawa naamini kabisa kama atatoka JWTZ basi ni kati ya MAJENERALI WA JUU PALE KUANZIA MEJA JENERALI na ambaye hata hakuwa kitengo cha MI.
Naona siasa za kishamba zikiendelea kabisa.Ila Magufuli alitudharau sana 😀
Kachero Mbobezimembe alikauaga nani hapo usalama?? niongezee maarifa
Mimi naona hamna ubaya kwasababu hawa ndugu zetu kusema kweli wana utu. Unaona hamna uonevu sasa hivi. Ni msuguano tu wa hoja jamvini kulichangamsha jamvi kupata mawazo mbadala.
Cc Otterhound The Icebreaker Dalmine Mlolongo Kikwajuni One
Posho gani hizo hawalipwi?Jamani tunajua IGP mpya soon will be on air ila Wawalipe askari kwanza posho zao ni miezi miwili sasa mam amewapiga mwingi!!
[emoji16][emoji16][emoji16] Poleni askari wetu!! Hasa JWTZ mungu awalinde
Kwa Wambura kuwa IGP inakuwa ngumu maana itaonekana kama mkoa huo wanapokezana ukuu wa polisiDGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)
Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP)
Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa majina yaliyopendekezwa kuwa IGP ingawa lolote linaweza kutokea.
Nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mpya inaonekana inaweza kumwangukia Selemani Mombo ila inadaiwa kuna presha ya kutaka TPDF idara ya Military Intelligence ndiyo itoe Mkurugenzi safari hii.
Imetoka hapa DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa IGP - Imevuja!
Hawa ndo waliowahi kuwa Maboss wa Usalama wa Taifa yaani TISS;
Emilio Mzena (1961 to 1975),
Dr Lawrence Gama (1975-78)
Dr Hassy Kitine (1978-80).
Dr Augustine Mahiga (1980-83)
Lieutenant General Imrani Kombe (1983-1995).
Apson Mwang'onda (1995-2005)
Othman Rashid Othman (2005-2016).
Dk Modestus Kipilimba* (2016- 2019)
Diwani Athuman (2019-2022)
MY TAKE;
Kwa Nchi ilipofika, natamani SACP Susan Kaganda, ndo awe IGP Mpya
SOFIA JONGO VIPI ALIYEKUWA RPC TABORA NOW YUPO TANGADGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)