Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

Status
Not open for further replies.
Qn: Mal Islam?

Ans: Al-islam huadin ulladhy baa Sallahu-bihi. Sayyidina Muhammad Salallahu Waleyh Wasalam.

Tafsiri:
Swali: Uislamu ni nini?

Jibu: Uislamu ni dini ambayo, Mwenyezi Mungu alimteremshia mtume wetu Muhammad Salallahu Waleyh Wasalam, kwa ajili yetu wanadam.
Swadakta. Wote ni ndugu
 
Jamani tunajua IGP mpya soon will be on air ila Wawalipe askari kwanza posho zao ni miezi miwili sasa mam amewapiga mwingi!!

[emoji16][emoji16][emoji16] Poleni askari wetu!! Hasa JWTZ mungu awalinde
 
Hawa ma pai wanaotokea polisi hamna kitu wote , kwa sasa iwe zamu ya military inteligence maana weledi wao siutilii shaka kabisa na nadhani hawajawahi kupepesa macho, hata wakati wa jiwe kuna wengi walijitahidi kujiweka mbali na siasa za maji taka na kutaka nchi irudi kwenye mstari, lakini ndio hivyo hawakuweza maana jiwe lilikua jiwe kweri kweri
Usichanganye MI na TISS kuwa MI haikupi nafasi uwe mkurugenzi wa TISS. Huwezi kuwa mkurugenzi wa TISS bila kuwa TISS.
Hapo huwezi ona mtu kutoka MI anakuwa DG wa TISS. Ingawa naamini kabisa kama atatoka JWTZ basi ni kati ya MAJENERALI WA JUU PALE KUANZIA MEJA JENERALI na ambaye hata hakuwa kitengo cha MI.
 
DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)

Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP)

Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa majina yaliyopendekezwa kuwa IGP ingawa lolote linaweza kutokea.

Nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mpya inaonekana inaweza kumwangukia Selemani Mombo ila inadaiwa kuna presha ya kutaka TPDF idara ya Military Intelligence ndiyo itoe Mkurugenzi safari hii.

Imetoka hapa DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa IGP - Imevuja!

Hawa ndo waliowahi kuwa Maboss wa Usalama wa Taifa yaani TISS;

Emilio Mzena (1961 to 1975),

Dr Lawrence Gama (1975-78)

Dr Hassy Kitine (1978-80).

Dr Augustine Mahiga (1980-83)

Lieutenant General Imrani Kombe (1983-1995).

Apson Mwang'onda (1995-2005)

Othman Rashid Othman (2005-2016).

Dk Modestus Kipilimba* (2016- 2019)

Diwani Athuman (2019-2022)

MY TAKE;

Kwa Nchi ilipofika, natamani SACP Susan Kaganda, ndo awe IGP Mpya
Mkuu kwamba umeandika ili lisitokee au? 😁
 
Usichanganye MI na TISS kuwa MI haikupi nafasi uwe mkurugenzi wa TISS. Huwezi kuwa mkurugenzi wa TISS bila kuwa TISS.
Hapo huwezi ona mtu kutoka MI anakuwa DG wa TISS. Ingawa naamini kabisa kama atatoka JWTZ basi ni kati ya MAJENERALI WA JUU PALE KUANZIA MEJA JENERALI na ambaye hata hakuwa kitengo cha MI.
ambacho hutaki kuamini ni nini sasa kwenye nchi kama Bongo?
 
Ongeza na mtu mmoja, haongei sana ila nimtendaji kweli kweli RPC wa MISENYI kama sikosei, alikua Tanga Chatanda
 
Usichanganye MI na TISS kuwa MI haikupi nafasi uwe mkurugenzi wa TISS. Huwezi kuwa mkurugenzi wa TISS bila kuwa TISS.
Hapo huwezi ona mtu kutoka MI anakuwa DG wa TISS. Ingawa naamini kabisa kama atatoka JWTZ basi ni kati ya MAJENERALI WA JUU PALE KUANZIA MEJA JENERALI na ambaye hata hakuwa kitengo cha MI.
Ila waweza kuwa JWTZ na ukawa Mkuu wa Magereza
 
Kuna RPC mmoja namkubali sana, haongei sana ila nimtendaji kweli kweli RPC wa mkoa wa Simiyu nadhani BLASIUS CHATANDA, Ni mtendaji Sana, Kila anapopelekwa mkoa anautendea haki kwakweli. Japo sio mtu wa Medea Sanaa.
 
Jamani tunajua IGP mpya soon will be on air ila Wawalipe askari kwanza posho zao ni miezi miwili sasa mam amewapiga mwingi!!

[emoji16][emoji16][emoji16] Poleni askari wetu!! Hasa JWTZ mungu awalinde
Posho gani hizo hawalipwi?
Bora tuteseke wote kama tunavyoteseka raia.
 
DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)

Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP)

Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa majina yaliyopendekezwa kuwa IGP ingawa lolote linaweza kutokea.

Nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa mpya inaonekana inaweza kumwangukia Selemani Mombo ila inadaiwa kuna presha ya kutaka TPDF idara ya Military Intelligence ndiyo itoe Mkurugenzi safari hii.

Imetoka hapa DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa IGP - Imevuja!

Hawa ndo waliowahi kuwa Maboss wa Usalama wa Taifa yaani TISS;

Emilio Mzena (1961 to 1975),

Dr Lawrence Gama (1975-78)

Dr Hassy Kitine (1978-80).

Dr Augustine Mahiga (1980-83)

Lieutenant General Imrani Kombe (1983-1995).

Apson Mwang'onda (1995-2005)

Othman Rashid Othman (2005-2016).

Dk Modestus Kipilimba* (2016- 2019)

Diwani Athuman (2019-2022)

MY TAKE;

Kwa Nchi ilipofika, natamani SACP Susan Kaganda, ndo awe IGP Mpya
Kwa Wambura kuwa IGP inakuwa ngumu maana itaonekana kama mkoa huo wanapokezana ukuu wa polisi
 
SOFIA JONGO VIPI ALIYEKUWA RPC TABORA NOW YUPO TANGA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom