Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

Status
Not open for further replies.
Apewe afande Swilla
Punguza utani kwenye nyuzi zenye taarifa fikirishi John.
Wazee wa ndani washajua nani anachukua hiko kiti. Mkumbushe Sirro aanze kuangalia miradi yake na asahau teuzi nyeti kwenye mfumo.
 
historia ya TZ haitakaa imsahau DIWANI kamwee kama ambavyo Mama hatakaa amsahau. DIWANI kiumbe mfupi mwenye roho ngumu kupita maelezo.

watu walikaa, wakasafiri, wakamaliza sherehe, wakarudi mwamba kavaa miwani.... haina kuongea kila mtu kanuna....

sio military intell wala intell yoyote ila paramill. intell yenyewe ya nchi tena wachache sanaaa walijua nini kinafuta

watu wakaishia kusema HAKUNA TATIZO TUCHAPE KAZI....

mwisho nchi inapumua.

nawasilisha
 
Punguza utani kwenye nyuzi zenye taarifa fikirishi John.
Wazee wa ndani washajua nani anachukua hiko kiti. Mkumbushe Sirro aanze kuangalia miradi yake na asahau teuzi nyeti kwenye mfumo.
Wewe ndio unaleta utani!
 
Naona mzee mombo anarudi idarani rasmi, km itakua hv dah.kweli jk yuko vzr,
mombo ndo maana karudi toka brazil

Idarani kipindi cha jk
boss OR
naibu JZ
opp SM
Ngoja tulitunze hili changizo.
 
Sio roho mbaya tu na ni mshamba na limbukeni, kwa jinsi alivyo na majungu ni vyema akapelekwa kwa polisi wenzake.

Idara ilishamshinda muda sana, huwa najiuliza hadi sasa anafanya nini pale maana hajafanya mageuzi yoyote zaidi ya kuwa mbinafsi.
Aondoke tu kwenye ubosi wake sijaona kipya zaidi ya kuporomoka kimaadili kila siku na hatua hazichukuliwi
 
Ila Magufuli alitudharau sana [emoji3]

Diwani amenisikitisha sana. Alikuwa na weak intelligence hadi wahuni wakamzunguka na kumuondoa mkulu . Diwani Yupo viziri lakini nafasi ya DGs haikumfaa. Alitakiwa aone . Foresee Fitna iliyokuwa inapikwa na TISS wachache nyuma ya kapeti dhidi ya JPM. Yaani mpaka walinzi wa karibu wa JPM waliweza kutumika na Diwani asijue chochote. Ngosha nae hakuwa mtoto wa mjini na hakuelewa vema mifumo ya Intelligence.... aliamini kauli yake ndio kila kitu. Hakujua watu alioingia nao bifu wanasisimizi wengi watiifu ndani ya mfumo wake ... hii ndio shida ya kuzaliwa vijijini

Pole JPM , the system failed you , Diwani failed you and you failed yourself.

Hakuna reverse ni umekwenda one way na masalio yako yanaondolewa yote.

Kinana, Makamba, Nape na Membe wote wamerudi kwenye System huku wanakucheka... na leo pale Dodoma wamekupiga mafumbo sana.

Nchi imeachiwa JK tu anafanya atakalo, akiamini yeye ndio Master minder , yaani wanavuruga nchi , rais mstaafu ni yeye tu, na wazee wenzie wapwani, full vijembe. ”
Mwanamke uliyempitisha bakora hawezi kuwa Na kauli dhidi yako “

Pole Ngosha , you did not play smart ... !

Ulichaguliwa VP , Na ukakubali ambae ndiyo alikuwa ni Informer wa watesi wako akina kigogo , Diwani alishindwa kumjua kigogo ni nani , lakini ukweli ni kwamba kigogo namba moja ulikuwa nae pale pale state , just right your shoulder ...... you did not play smart Ngosha .

Taarifa zako za ndani zilitoka nje kwa urahisi, docs zako za ndani zilitoka kwa urahisi...! Kwa Sasa hakuna tena hilo tatizo... you did not play smart Ngosha .... ulitakiwa ku foresee right from the moment .... pole Ngosha , sadly hutorudi tena duniani....

Walikutumia sms kwenye simu yako “ Umekufa Ngosha”
Ngosha, huku nyuma , VP uliyemuamini ambaye alikuwa ni kigogo namba moja. Anawapelekesha kina Sabaya hatari, ni kama hamkufanya kazi pamoja.


All in all ...... dunia ni mapito. Wote Wanapita .... Kama ulivyopita wewe , Na wengine watapita, ni suala la muda tu ndio linaleta utofauti.

You failed yourself. Diwani failed you Endelea kupumzika kwa amani
 

Acha kuandika uongo hakuna askari wa kumgomeq boss labda kama hujui maana ya boss! Mnasifia hadi mnaharibu kama i hivyo si angegoma kwenda kituo cha kazi Arusha? Tupunguze uongo tunapo taka kuwasifu watu
 
ahsante...... Jamaa hakuamini kabisa yaliyotokea dk za mwisho akaamua kuweka wazi kama kuna kitu anajutia basi ni kumpa shavu "MTENDAJI"
 
Sasa ulitaka aseme nini? Hata angesema wange twist kauli yake... Alipata mshtuko sana itakuwa akawa speechless.

Au nae pia hakuwa na taarifa sahihi Kwa wakati sahihi.. Mazoea na mazingira labda hakujishughulisha zaidi.. Kuja kushtuka land line...
 
mimi naomba walete mjeda tu toka TPDF. wana nidhamu, na weledi mkubwa sana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…