Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Kazi za secret service hazina masuala ya kukataa. Ukikataa unahesabika ni oathbreaker. Lakini, huyo jamaa Chilla ame-generalise teuzi zote za rais kuwa ni uhaini ukikataa. Hapo ndio amedhihirisha ukilaza wake.Ninyi vijana wa 90s, hamjui kuna kazi unaolewa mpaka kifo.
Kwa wadhifa aliokuwa nao Diwani must be UNDER total control, or neutralised.
Mi' imebidi nicheke sana. Jamaa he is totally an imbecile. Nimecheka sana.
Wakati mwingine rais anafanya maamuzi kama hayo ili mtu ajifukuze kazi mwenyewe, so i believe huo ni mtego na ndugu yetu wa same ameuingia mzima mzima na leo yametimia.Kiukweli kumtoa mtu kwenye position ya DGIS na kumwacha popote nchini is a mistake!. Position stahiki kwa DGIS mtumbuliwa ni kumpeleka ubalozini. Rais nae ni binadamu na sio malaika, hivyo anaruhusiwa kufanya human mistakes. Hili nililizungumza hapa Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda
Kuhusu hizi appointments nyeti na very strategic tusimwachie mtu mmoja tuu, she is human hivyo sometimes human mistakes caused by human weaknesses zinaweza kutokea ukajikuta unamtumbua mtu mzuri kwa issues ndogo tuu zikingine za ... Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?
P
Duuuh 😂 😂 😂 ila leo mi nacheka hadi mbavu zinaumaHuyu anatakiwa atupwe somalia au Congo huko.
Unataka kusemaje Sasa? Diwani katumbuliwa kwasabb imedhihirika pasipo shaka kuwa yeye ni sukuma gangNilisema jana hapa huu ujinga wa tengua teua kwa visasi na chuki kutengeneza team inayompendeza mtenguaji/mteuaji ni ujingaa..
Si kila mtu yuko tayari kwa maujingaujinga hayo.
Tunahitaji katiba mpya haraka saana..
Huu upuuzi ukome.
Attitude ndo infanya mtu kuwa hatariNikija kuwa rais, hata siku moja sitoruhu ex DGIS abaki nchini, namchapa ubarozi australia, au aame yeye mwenyewe nchi, au na disconnect nyaya ya upuaji wake. Ni watu hatar sana kwa taifa wakiwa nje ya mfumo.
Nazani historia una ifahamu vyema na matukio yake piaImran kombe
Kawaida wakurugenzi hawa wakishaondolewa katika nafasi zao, huwa wanapelekwa ubalozini huko Canada, Brazili ili kutoa nafasi kwa ajaye kufanya kazi kwa umakini. Imagine Diwani aanze kuripoti kwa huyu mpya, lazima kutakuwa na hali fulani hivi.
Halafu huwezi kujua ameichukuliaje issue ya kuondolewa halafu unamuweka jikoni kwako panapopikwa chakula
I said.
=====
Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu
Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
[ATTACH type="full" alt
Askari polisi,Corporal Mataba aliyempiga risasi Marehemi Imran Kombe yuko wapi siku hizi?
Mara nyingine rais anafanya makusudi ili kutizama pressure ya audience yake kisha anafanya vile wanataka kuonesha anawasikiliza na kujali mawazo yao, hasa ukizingatia ilikuwa ndio mwanzo wa utawala wake, mkuu nchi ina siri nyingi...lakini sio mara nyingi na kwa uzembe kama sasa hivi.
..baada ya uteuzi wa yule kijana uvCcm kuwa DG wa Tpdc ungetegemea wawe waangalifu zaidi.
..wakuu wa usalama wakiondolewa huwa wanakuwa mabalozi au wakuu wa mikoa.
Kwasababu ni mteuzi wa aliyepita... Wa sasa anaweka wake..Unataka kusemaje Sasa? Diwani katumbuliwa kwasabb imedhihirika pasipo shaka kuwa yeye ni sukuma gang
Diwani kwa cheo cha muundo ni CP Kamishna wa Polisi na sio peke yake wapo akina WP. Kaganda na wengine anaweza kuwa na Naibu IGP kama ambavyo huko nyuma Magu aliundaga hicho cheo kimchongo baadae kikafa natural deathKwa cheo gani? Hiyo ndio shida
Othman ni wa nne .... Ingawa yeye alioondoka kwa kustaafu.Mbona hawajafika hao 4 ni 3 ndani ya miaka 8
Kipilimba
Diwani
Nassoro