Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Mkuu umelenga nini hasa sijakupata!??
 
Wengi Si watu, ingawa Si wote.
 
Appointments za hawa jamaa wakishaondoka au kuondolewa kwenye wadhifa, inakuwa very sensitive.
Wanaweza hata kupotea!
Wana siri nyingi mno.
Naunga mkono hoja, hata kilichomkuta Imran Kombe, wanaodhani ni bahati mbaya, watche waendelee kudhani!.

Tena kuna maofisa na maofisa, ukistaafishwa unakuwa huru kuishi popote na kwenda popote, hawa jamaa ukistaafishwa kwa manufaa ya umma, unarudishwa at the place of domicile uliyoandika ile siku unaajiriwa! Na Kyle unakabidhiwa mahali chini ya uangalizi.
Nimekikumbuka kisa cha Mzee Mayalla, kwenye ile kesi ya Mauaji Mwanza ya mwaka 1976, ni tulibebwa usiku usiku na defender 109 na kutembea usiku kucha, asubuhi kijijini!. Na wazee wa Kisukuma kwa kuponda raha, unakuta kijijini hujajenga !... we acha tuu mambo mengine usikumbuke... TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
P
 
Maza amemwaga MBOGA , sasa Diwani Athumani anamwaga UGALI
 
Mtu unaweza elewa raisi kutofikiria sana kwenye teuzi za huko kwenye serikali za mitaa. Asijali sana wateule wanaleta nini mezani so it’s OK watu kama kina ‘mama totoo’, Nikki wa Pili na ghasia wengine kujikuta wameulamba.

Lakini kukosea teuzi sensitive na kuwafuta watu kazi kabla ya ata kuanza ni kielelezo tosha ‘the lady is not serious on the job’ and doesn’t understand most roles serikalini as yet anateua akiambiwa roles za watu anapangua tena huko ni ofisini kwake. Sasa huko kwenye wizara si ndio balaa katujazia vilaza wala aoni shida kisa hayamuhusu.
 
Diwani kwa cheo cha muundo ni CP Kamishna wa Polisi na sio peke yake wapo akina WP. Kaganda na wengine anaweza kuwa na Naibu IGP kama ambavyo huko nyuma Magu aliundaga hicho cheo kimchongo baadae kikafa natural death
Acha upuuzi, Magufuli hajawahi kutengeneza cheo cha naibu IGP badala yake Magufuli ndiye aliyeondoa huo ujinga.
 
That was likely to happen.

Wala haishangazi, Athuman angepaswa kustaafu. Siyo kushushwa cheo kiasi kile ambapo sehemu ya maelekezo atapokea kutoka kwa aliyekuwa Junior kwake.
Kushushwa cheo kivipi? Idara ya usalama wa taifa iko chini ya Katibu Mkuu Ikulu. Sasa alishushwa vipi?
 
Kazi za secret service hazina masuala ya kukataa. Ukikataa unahesabika ni oathbreaker. Lakini, huyo jamaa Chilla ame-generalise teuzi zote za rais kuwa ni uhaini ukikataa. Hapo ndio amedhihirisha ukilaza wake.
Huyu mwenzetu kachukulia uhaini in a political sense.
Tofauti kabisa na Secret Service Oath na Code of Conduct.
 
Tena iyo Chief of staff ni tofauti kama ile ya kijazi na bashiru ile ni katibu mkuu kiongozi. Hii Diwani alitopewa ni katibu mkuu tuu. Kazi yake ilikuwa kuandaa mafaili tu yani alikuwa hana tofauti na secretary.
Acha uongo wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…