Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Huyu Rais anachokitafuta atakipata na wanaomshauri watampa anachokisubiri na kulewa asichokitarajia
 
Mkuu P kile kisa ulikimaliziaga?
 
Nilisema jana hapa huu ujinga wa tengua teua kwa visasi na chuki kutengeneza team inayompendeza mtenguaji/mteuaji ni ujingaa..
Si kila mtu yuko tayari kwa maujingaujinga hayo.

Tunahitaji katiba mpya haraka saana..

Huu upuuzi ukome.
kila rais anaingia na watu wake sio jambo la kujadili
 
Diwani kwa cheo cha muundo ni CP Kamishna wa Polisi na sio peke yake wapo akina WP. Kaganda na wengine anaweza kuwa na Naibu IGP kama ambavyo huko nyuma Magu aliundaga hicho cheo kimchongo baadae kikafa natural death
kama kumbukumbu zangu ziko sawa, nadhan diwani aliwahi kuwa naibu wa IGP kama sijakosea vizuri, and kwa cheo chake cha sasa kusema akawe chini ya IGP mmh ngumu sana


i think anaweza kwenda kuwa Balozi
 
Kwa iyo KIPILIMBA place of domicile ni Botswana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…