Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Kati ya uliyotaja hakuna lolote ambalo linahusika na kukataa uteuzi wa wadhifa. Rudia kusoma wewe mwenyewe
 
Imran kombe
 
Kwahiyo Jamaa hana marupurupu ya kustaafu na ulinzi na pia hana mshahara sijaelewa yaani karudi kwenye zero au ukitolewa unaendelea kupata marupurupu kama hana chochote serikali iangalie mara mbili asije kutumiwa na watu wabaya na ikawa rahisi kwake kukubali kutokana na ugumu wa maisha anaoenda kukutana nao sijui na hili limeangaliwa
 
Itakuwa jamaa kachomoa. Huu ndio uanaume. Huwezi kuwa DGIS kisha ukakubali kwenda kuwa Katibu Ikulu. Kudharirishana na upuuzi tu.
Katibu mkuu,ni chief of staff wa Raisi,ni boss wa watumishi wote Ikulu!!,
Sasa maadam katumbuliwa,akae mkao wa kula,inaelekea haivi na boss,awe makini yasijeyakamkuta yq Imran Kombe
 
Mbona hawajafika hao 4 ni 3 ndani ya miaka 8

Kipilimba

Diwani

Nassoro
 
Kukataa teuzi ni uhaini? Unavuta bangi?
jamaa sijui kasoma sheria ya nchi gani hiyo, na picha lake la chama cha mambuzi, anacomment vitu ambavyo havipo kabisa, eti mbowe alienda kwenye uapisho wa magufuli akili mbovu hii,, jana tu kenya odinga hajaenda kwenye uapisho wa ruto na hakuna kilichofanyika , na hajui kama felony ni kosa linasomeka kwa pamoja kwenye penal code zetu tulizo copy toka india
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…