Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Hongera Diwani kwa kujiuzulu kutunza heshima yako🙏🙏🙏🙏

Ila una madudu mengi Sana mafaili yako yakipekuliwa duh sijui kama utapona!!!

Inaonyesha ndani ya siku moja mafaili yako uliyokuwa umeyakalia yamedakwa sisi tunakuombea uvuke salama🙏🙏
 
Sababu ya kwanza naamini ndio inaelekea kuwa kubwa zaidi, kwani ni ka tabia kwetu kuzichukulia hizi teuzi kama kulamba asali, hivyo kwa akili ya kawaida inategemewa mteuliwa lazima akubali nafasi anayopewa, kumbe kwa wengine hali inaweza kuwa tofauti.
Hana jeuri ya kumkatalia rais kwa nafasi aliyokuwa nayo. Vinginevyo atakwenda peponi
 
Ni TAARIFA za kweli Diwani Athumani aliyeteuliwa KUWA katibu mkuu Ikulu ametenguliwa na hajapangiwa nafasi NYINGINE anarudi kwao kulima.
Umejuaje kama aliwahi kulima au umejuaje kama yuko interested na kilimo sasa hivi. Diwani pale Magu alipofariki alijua kabisa kile cheo hakai, surprisingly amekaa kaa kidogo tofauti na uzoefu wa medani ulivyoonyesha. Haijamshtua wala haijawashtua wenye medani yao kama alivyoondoka Modestus Kipilimba.

Na kwa common sense hapo ikulu huo ukatibu alikuwa amepewa kama stopgap
 
Kukataa ni uhaini na adhabu ni inaweza kuwa kifo au kuishi kama marehemu jumbe... (RIP)

Hivyo msiwe mna andika ili mradi kuandika... una zani kwann wakina mbowe hawakatai wakiitwa kwenda kwa Mh. Ikulu? Ni uhaini kukataa wewe kama mtanzania kwa nchi yako
Sheria gani inasema hivi?...hebu tuwekee
 
Hakuna mtu anayehudumu TISS na ambaye ni Member wa TISS akateuliwa kazi yoyote na Rais akagoma.

Rais atakuwa amestuka kuwa kumuweka Ikulu karibu yake mtu aliyekuwa anaendesha mission za kuonea wapinzani kutaathiri mipango yake ya zile R nne
Kwahiyo kastuka leo.ndio kajua yote hayoo na ikiwa yeye ni rais[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom