Continental Ground
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 1,907
- 3,895
Diwani kama Diwani ..Mwamba huyu hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jk ndio alileta huo mfumo..Acha upuuzi, Magufuli hajawahi kutengeneza cheo cha naibu IGP badala yake Magufuli ndiye aliyeondoa huo ujinga.
Who is next?Diwani ni sukuma gang. Mama kaamua kumchinjilia mbali
Kumbe naye ni TISSView attachment 2469937
Kwa wale wasiomfahamu. Ni huyo wa kushoto akiwa na hayati KMK Kijazi Januari 2020
Wacha uongo Diwani akuwahi kuwa naibu IGPkama kumbukumbu zangu ziko sawa, nadhan diwani aliwahi kuwa naibu wa IGP kama sijakosea vizuri, and kwa cheo chake cha sasa kusema akawe chini ya IGP mmh ngumu sana
i think anaweza kwenda kuwa Balozi
Wapi hiyo?Tangu kaka yake Diwani kuuwawa kwa kuchomwa mshale kwenye mgogoro wa ardhi amepoteza focus sana. Kifo cha kaka yake kimemuuma sana
Pale Israel karibia kila mtu mkubwa lazima alikuwa jeshini frontWacheki cv ya mossad boss
David Barnea...teh teh
Lijamaa lishaenda sana frontiles
Ukimchek tu mtu unasema yes huyu ni
Ngoma ngumu
Ova
Au yule mama Gina Haspel wa CIAWacheki cv ya mossad boss
David Barnea...teh teh
Lijamaa lishaenda sana frontiles
Ukimchek tu mtu unasema yes huyu ni
Ngoma ngumu
Ova
Wacha uongo Diwani akuwahi kuwa naibu IGP
Wateule wa rais (raia kwa askari) hawaruhusiwi kuhoji, kupindua, kukataa, uamuzi wowote anaochukuwa rais kwenye dhamana zao, sana sana usifie tu.Wahuni ao Fobia
Temu yupi mzee ? Hebu tukumbusheMshana Jr unakumbuka ya Temu, Naona ilikuwa danganya Toto ili aachie ofisi
Namchokoza Mshana Jr na uzi wake wa janaTemu yupi mzee ? Hebu tukumbushe
Uongo ni tusi?Tumia lugha mzuri basi ndio maana nimesema kama kumbukumbu zangu ziko sawa
wabongo mnapenda ligi kwa kila jambo duh
Mkuu nipe dili kitengoni ukoHongera Diwani kwa kujiuzulu kutunza heshima yako[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ila una madudu mengi Sana mafaili yako yakipekuliwa duh sijui kama utapona!!!
Inaonyesha ndani ya siku moja mafaili yako uliyokuwa umeyakalia yamedakwa sisi tunakuombea uvuke salama[emoji120][emoji120]
Uongo ni tusi?
Naibu IGP alikuwa Abdul rahman Kaniki, na huo utaratibu aliuleta Jk ila hayati alitengeu.
Na mimi unajua maana ya kusema acha kuongopaunajua maana ya kusema kama kumbukumbu zangu ziko sawa?
Angalau umeliweka sawa hili maana tuna kasumba ya kutumia maneno bila kuzingatia maana yake halisi?Awepo 'mole' alafu apeleke taarifa kwa Samia? Sasa huyo sio mole ni agent na anachokifanya ni kazi yake, mole ni yule jasusi wa organization fulani kajichomeka kuajiriwa kwenye taasisi nyingine ya intelligence. Utawakuta Wanyarwanda hizi nchi za EAC wanareport kwa NISS, ndio moles hao
Na mimi unajua maana ya kusema acha kuongopa