KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Kafika kwa Ashura tarehe 19/5/22. Polisi walimpata tarehe 23/5/22. Alipotea toka mwezi wa pili na hivyo basi kipindi chote hicho hakujulikana yupo wapi. Ashura anastahiki sifa kwa kumtunza Mtani Hadi hapo Polisi walipogundua Makao yake mapya.Kwaiyo toka mwezi wa pili alikuwa kalewa had Leo? Ama alikuwa kalewa kitu kingine sio pombe?
Ama mm ndio sijamuelewa dada Ashura?
Wewe huyo ni Ashura Macheni,ukitaka kumjua muulize Rama,halafu akaja Macheni,wote walipulurwa mpk senti ya mwisho.Mtoto wa kishua bilionea katekwa na mtoto wa kizaramo.
Usiombe mwanaume wa bara ukutane na wadada wa pwani.
Ukiwa na hela utajiona uko peponi
Na hela hawakumalizii maana matumizi yao ni madogo. Ukimpa laki 3 per month anaona amekuchuna kweli.. kumbe kidume una mabilioni unamiliki shule za st marys na kanisa unakusanya sadaka.
Hapo jamaa unaweza kuta ndie amemjengea nyumba tabata ya bei nafuu tu kama 20 ama 30m. Ashura Ni nyumba ndogo yake kwa miaka 10.
Mkewe akimzingua anaenda jificha tabata kwa ashura wake
Ila jamaa alifaidi sana hizo steki...
Bulesi
Kwa aibu aliyoipata huenda akaachana na hilo shangingi ili kulinda heshima ya familia yake.Kwani ameacha?
Ok, hao waliotapeliwa walishtaki?Ndugu yangu wa karibu aliponea chupuchupu kupigwa kiwanja na Muta
But kuna watu wawili nawajua ashawapiga
Tena sio leo ni before mama yake hajafariki
Hata ningekuwa mm ningemuomba anifungie hata mwakaZigo la kuvunja chaga
USSR View attachment 2237076View attachment 2237077View attachment 2237078View attachment 2237079
Daah, Ashura atakuwa mtamu sana!!! Zinga la pussy.Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es Salaam limesema Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu mwezi wa pili amekutwa nyumbani kwa mwanamke mmoja Tabata.
Mwanamke huyo Ashura Ally anasema kuwa Diwani huyo alifika nyumbani kwake akiwa katika hali ya ulevi.
View attachment 2236722
Pia soma > Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa
Ni mtoto wa Marehemu Mama Rwakatale?Hawa watoto wanamdhalilisha Sana marehemu mama Yao mhe. Rwakatale..
Polisi wetu hufanya kila kitu kuanzia siasa, uanahabari mpaka upolisi wenyewe.Polisi imewavunjia faragha zao diwani na Bi. Ashura.
Wangesema amepatikana tu na kuwaachia waandishi wa habari za udaku hayo mengine
Jamaa anakesi kama buku pale kawe kituo cha polisi na wanakula nae sahan mojaOk, hao waliotapeliwa walishtaki?
Mhaya na Mzaramo wapi na wapiTaarifa ya Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es Salaam ya Mei 24, 2022 imeeleza kuwa wamefanikiwa kumkamata Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu Februari, 2022 akikutwa nyumbani kwa Bi Ashura Ally mitaa ya Tabata.
Sasa Ashura mwenyewe amesema kuwa Diwani huyo ni kaka yake na alifika nyumbani hapo kwa nia ya kumsalimia tu.
Chanzo: Jahazi (Clouds FM)
[emoji23][emoji23]Mara mmepata picha ya Ashura!!! JF kiboko yao!
Kwa mwandiko huu humpati ashura ng’oo labda umrogeBi Ashura nabata ushungu mimi, iko nataka kuya Tababa mimi