KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Kafika kwa Ashura tarehe 19/5/22. Polisi walimpata tarehe 23/5/22. Alipotea toka mwezi wa pili na hivyo basi kipindi chote hicho hakujulikana yupo wapi. Ashura anastahiki sifa kwa kumtunza Mtani Hadi hapo Polisi walipogundua Makao yake mapya.Kwaiyo toka mwezi wa pili alikuwa kalewa had Leo? Ama alikuwa kalewa kitu kingine sio pombe?
Ama mm ndio sijamuelewa dada Ashura?