Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Kwaiyo toka mwezi wa pili alikuwa kalewa had Leo? Ama alikuwa kalewa kitu kingine sio pombe?
Ama mm ndio sijamuelewa dada Ashura?
Kafika kwa Ashura tarehe 19/5/22. Polisi walimpata tarehe 23/5/22. Alipotea toka mwezi wa pili na hivyo basi kipindi chote hicho hakujulikana yupo wapi. Ashura anastahiki sifa kwa kumtunza Mtani Hadi hapo Polisi walipogundua Makao yake mapya.
 
Mtoto wa kishua bilionea katekwa na mtoto wa kizaramo.

Usiombe mwanaume wa bara ukutane na wadada wa pwani.

Ukiwa na hela utajiona uko peponi

Na hela hawakumalizii maana matumizi yao ni madogo. Ukimpa laki 3 per month anaona amekuchuna kweli.. kumbe kidume una mabilioni unamiliki shule za st marys na kanisa unakusanya sadaka.

Hapo jamaa unaweza kuta ndie amemjengea nyumba tabata ya bei nafuu tu kama 20 ama 30m. Ashura Ni nyumba ndogo yake kwa miaka 10.

Mkewe akimzingua anaenda jificha tabata kwa ashura wake
Wewe huyo ni Ashura Macheni,ukitaka kumjua muulize Rama,halafu akaja Macheni,wote walipulurwa mpk senti ya mwisho.
Huyo bwege kaenda kuzoa maradhi tu hapo.
Demu hana ushamba we hela.
 
😂😂😂😂hii habari inachekesha sana watu wanahaha kutafuta yukwapi yeye yupo kwa Ashura kimya.Mama Lwakatare angekuwepo haya mambo yangeishia chinichini
 
Na kama huyo jamaa alikua teja kweli,baas,
Pale akuwa anapigwa poda msosi anapewa tako anazima
Akiamka dozi tena,anazima akimka nyingine anazima.
Muamarla anajua Halima uje vipi hela ziko wapi ndo mana kamuweka pale siku zote.
 
Taarifa ya Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es Salaam ya Mei 24, 2022 imeeleza kuwa wamefanikiwa kumkamata Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu Februari, 2022 akikutwa nyumbani kwa Bi Ashura Ally mitaa ya Tabata.

Sasa Ashura mwenyewe amesema kuwa Diwani huyo ni kaka yake na alifika nyumbani hapo kwa nia ya kumsalimia tu.


Chanzo: Jahazi (Clouds FM)
 
Ok, hao waliotapeliwa walishtaki?
Jamaa anakesi kama buku pale kawe kituo cha polisi na wanakula nae sahan moja


Na anapigia gambe pale triple 7
Kuna siku kalewa akagonga ule ukuta wa club laroca pale kawe ukwamani
 
I salute you Ashura!!!
Pesa zake, kitumbua chako ! Mwenye shida kamfuata mganga
 
Taarifa ya Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es Salaam ya Mei 24, 2022 imeeleza kuwa wamefanikiwa kumkamata Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu Februari, 2022 akikutwa nyumbani kwa Bi Ashura Ally mitaa ya Tabata.

Sasa Ashura mwenyewe amesema kuwa Diwani huyo ni kaka yake na alifika nyumbani hapo kwa nia ya kumsalimia tu.


Chanzo: Jahazi (Clouds FM)
Mhaya na Mzaramo wapi na wapi

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom