Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]watani zangu wanjengewe sanamu pale mnazi mmoja
 
Huyo Ashura mnayemsifia sio lolote wala chochote, nitamnunulia gari siku akimpoteza Masanja Mkandamizaji [emoji23][emoji23]
 
Vichekesho vingine hivi ni zaidi ya bongo movie yaani.
 
Kesi inatakiwa iwe Mahakamani na Sio Polisi. Polisi ni tuhuma tu. Mimi mwenyewe namfahamu Muta pia tumeishi nae Kkoo kabla hawajahamia Mikocheni na US Alabama ili mimi nilitangulia kurudi Bongo. Namfahamu tumekua wote.
Mkuu kwani we mtu akikuibia unaenda kuripoti wapi?

RB unapewa wapi?

Km huamini nenda pale kawe polisi kaulize ma file yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…