Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Wewe si ulinipiga kibuti? Uliona nitafaidi sana. Mi namwachia Mungu. Iko siku utanikumbuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] hebu njoo tabata sanene hapa nikuteke.
 
Sasa nalipaje bila account namba..[emoji23][emoji1787]

Halafu pesa yangu unataka uile kazi usiifanye, chimbo umegoma kunitajia.
Yaani kuliwe kwa mwali tu,halafu kwa kungwi kusiliwe. Vibaya hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] teeeenaaaaah???

Hatareeeeh sanaaa.
 
Tumuulize Tegete alikuwa anapewa nini maana alifungiwa hivihivi kuachiwa na mpira umeisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeh tupu.
 
Kwanin mnawaza limbwata tuu na sio mambo mengine[emoji23][emoji23]?labda inawezekana Ashura anachompa jamaa mke wake hawezi kumpa [emoji9][emoji849]
Ndo hilo limbwata la kisasa, sikutaka nitoboe zaidi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu kwani we mtu akikuibia unaenda kuripoti wapi?

RB unapewa wapi?

Km huamini nenda pale kawe polisi kaulize ma file yake
Sijakubishia Mkuu, nimekwambia hizo ni tuhuma, Kesi huamuliwa Mahakamani.
 
Huyo big body Alisha anza michezo ya so...ma ni mwehu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…