Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke

Hakupotea alilewa akaenda kwa mchepuko wake kuburudika.
 
Hawa watoto wanamdhalilisha Sana marehemu mama Yao mhe. Rwakatale..

Anatudhalilisha hata sisi tunaoishi kata ya KAWE kuwa na DIWANI mlevi namna hiyo kwani hawezi kutuwakilisha ipasavyo!! Kuna umuhimu huyu Diwani achukuliwe hatua za kinidhamu ikiwemo kutolewa Katika majukumu ya UDIWANI kwani hana hadhi ya kuwa muwakilishi mzuri.
 
Wiki iliyopita milileta uzi nikimnukuu Meya wa Kinondoni mh Songoro akitangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe mh Mutta.Rwakatare


Kamanda Mrangi alicomment.luwa Muta.atakuwa amefichwa na A M huko Tabata.

Leo Mutta kapatikana huko huko Tabata kwa Ashura

Siasa siyo uadui ubarikiwe.kamanda.Mrangi wa Ufipa st
 
Huu Uzi uunganishwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…