Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Diwani wa Kata ya Wazo, Mhe. Wakili Leonard Tungaraza Manyama, ameonya kuwa mtu yeyote anayefanya vitendo vinavyoweza kuzuia ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hafai kushika nafasi za uongozi.
Mhe. Manyama alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wazee na wanachama wa CCM katika Tawi la Mivumoni, mtaa wa Mivumoni, Kata ya Wazo, Manispaa ya Kinondoni.
=======================================
Hivi viongozi wa CCM hizi kauli wanazotoa hawajui zinaweza zikatumika dhidi yao?
Mhe. Manyama alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wazee na wanachama wa CCM katika Tawi la Mivumoni, mtaa wa Mivumoni, Kata ya Wazo, Manispaa ya Kinondoni.
Mtu yeyote anayefanya jambo lolote linalopelekea CCM kukosa kushika Dola, hafai kuwa Kiongozi” alisema kiongozi huyo
=======================================
Hivi viongozi wa CCM hizi kauli wanazotoa hawajui zinaweza zikatumika dhidi yao?