Pre GE2025 Diwani wa Wazo: Mtu yeyote anayefanya jambo lolote linalopelekea CCM kukosa kushika Dola, hafai kuwa Kiongozi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Diwani wa Kata ya Wazo, Mhe. Wakili Leonard Tungaraza Manyama, ameonya kuwa mtu yeyote anayefanya vitendo vinavyoweza kuzuia ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hafai kushika nafasi za uongozi.

Mhe. Manyama alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wazee na wanachama wa CCM katika Tawi la Mivumoni, mtaa wa Mivumoni, Kata ya Wazo, Manispaa ya Kinondoni.

Mtu yeyote anayefanya jambo lolote linalopelekea CCM kukosa kushika Dola, hafai kuwa Kiongozi” alisema kiongozi huyo​

=======================================

Hivi viongozi wa CCM hizi kauli wanazotoa hawajui zinaweza zikatumika dhidi yao?
 
View attachment 3156142

=======================================

Hivi viongozi wa CCM hizi kauli wanazotoa hawajui zinaweza zikatumika dhidi yao?
jimboni kwangu yeyote anaeshabikia upinzani hutengwa kuanzia ngazi ya familia yake, kwasabb mtu huyo huonekana kama laana na mkosi kwa familia au jamii husika.

diwani ameeleza ukweli bayana kabisa dah 🐒
 
jimboni kwangu yeyote anaeshabikia upinzani hutengwa kuanzi ngazi ya familia kwasabb ni huonekana kama laana na mkosi kwa familia au jamii husika.

Labda Jimbo la mashoga ya ccm
 
Labda Jimbo la mashoga ya ccm
well done Taifa Stars,

Asanti sana Dr.Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania wote, kwa neno lako moja tu la hamasa.

Hodi Morocco Afcon 2025👊💪🌹
 
Kwani kigeni ni kipi hapo msichokifahamu kwamba CCM ni dola?
 
jimboni kwangu yeyote anaeshabikia upinzani hutengwa kuanzi ngazi ya familia kwasabb ni huonekana kama laana na mkosi kwa familia au jamii husika.

diwani ameeleza ukweli bayana kabisa dah 🐒
🤔💭
 
Wangekuwa wakali hivi kwenye, kukataa rushwa na ufisadi wote. Makao makuuya World Bank yangekuwa Tanzania.
 
Back
Top Bottom