petrinamwana
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 900
- 345
Sikujibu maana naona unajitoa ufahamu. Comment yangu ya kwanza si umeiquote wewe? Uliquote bila kusoma? Pole.Kwa hiyo magufuli ni msafi?
Huna hoja, sikiliza hapo mhusika mkuu, Waziri Mkuu, anaeleza walioshauri nyumba ziuzwe na aliyefanya uamuzi nyumba ziuzwe na kwanin nyumba ziliuzwa.
https://www.youtube.com/embed/LofQGOS0bCM?wmode=opaque
Hiyo hoja ya nyumba ameishaimaliza Sumaye jana, asubuhi na mapema!tafuteni nyingine!
wewe unafurahi ma regional manger wa tanroads wanalia sasa amount ya hela walizoambiwa wachangie
very coward man, anachoogopa kutangaza nia adharani ni maswali ya madudu aliyofany ikiwemo kuuza mali za umma. Shame on you, kwenye huo mchakato hakuna kundanganya watu na km za barabara
jembe huoni hata aibu kusema. Maeneo yote nyeti wameuziwa watu binafsi, including vimada wake e.g kebbys hotel. Wewe umekaa kushabikia upuuzi. Huyu mtu angekuwa china angekuwa ameshanyongwa siku nyingi
siwezi sikiliza rubish, nyuma zimeuzwa kwa usimamizi na ushauri wake. Kimadawake amepata nymba mwenge kabomoa kajenga kebbys hotel, hivyo ndiyo wananchi wanajua na ndiyo ukweli wa hilo jambo
mkuu tunashukuru kwa information. Ila kwa taharifa na kwa utashi mkubwa wa lowasa awezi kimbilia kuchukua form wakati kuna msiba, lowasa ataomboleza kama watanzania wengine, then form atachukuwa kesho
who is nape in this country? Walijaribu wenyeviti wa chama kwa hawamu zilizopita wakashindwa, ndiyo huyo kijana aliyeachiwa jimbo mtama atawesa? Watanzania wenzangu please please say no to third term, no to uncle, no to project ya jumba kuu aka membe
he he he. Kweli sikio la kufa halisikii dawa. Ninachokusifu wewe na simiyu yetu, mmehamua kufa na tai shingoni. Afte all hamna option as hamkubaliki kambi ya ushidi ni Lowassa. Ninawashauri muelekee chalinze kwenye kampeni za ubunge
- this is one horse race. Hii ngoma hakuna cha ikulu wala cc
hilo swali kamuulize house girl wako. Raisi wa safari hii ameshajulikana ni lowassa, ni mungu tu anaweza kuzuia
duh mkuu, kwanza kabisa ninaomba nikuombe radhi, mimi nilijua wewe ni team membe, au umeshaama kambi na kutambua ukweli safari ya matumsini imewadia. Wewe ni mpiganaji mzuri ulichokosa ni utashi wa kuona ukweli, naamini team yako ikikosa nguvu utakuja kwenye ukweli na kuachana na jumba kuu project a.ka membe. Please say no to third term. Hawa jamaa wameifikisha hii nchi hapa then wanataka ucle aingie jumba kuu. No no no to project membe watanzania wenzangu
Sikujibu maana naona unajitoa ufahamu. Comment yangu ya kwanza si umeiquote wewe? Uliquote bila kusoma? Pole.
huyu jamaa namfananishaga na member flani humu ndani akichangiaga tu huwa namkumbuka
huyu jamaa anapigaga pesa ndefu sana sema inakua haina mzunguko mrefu ndo maana kujua ni ngumu
ila anajiona msafi sanaa
hamna lolote nyongeza tu.....
PPM HUO UMASKINI WAKO UTAKUUA, YAAN LOWASSA KWA PESA ZAKE NDIO KAKUPA KAZI YA KUSHINDA KWENYE MTANDAO???nilitaka kushangaa ni nani huyu??kumbe kila unachoandika kwenye thread zote ni kwa maslahi ya LOWASSA.
Guys, muwe macho na watu kama PPM, watu wanalipwa humu na hawa mafisadi kuchafua watu.
Bora yamagufuri kuliko lowasa yanii low as a kwake rushwa njenje kwe nia tu watu wameondoka na bahashs ya asantemkipa low as a nchi ataanza kuwauza babu zetu anakuja bibi zetu atamalizia na wewe uliempa nchihaha nchi hii inaitaji MTU dikteta asiye Cheka Cheka wala kuangalia MTU machoni mwenye maamuzi magumu
Hongera mno Magufuli.Tunasubiri kukupigia kura za kishindo.tunaelewa utendaji wako.
Acha ukuda wewe. Magufuli anafaa na Watanzania wengi wanajua kazi yakeratiba ya jana ilionyesha hivyo..amechukua bila kutangaza nia aakijiamini kwamba watz wanajua utendaji wake...waache wamlete mwizi huyu ....lazima atwambie zile 268 bil zimeenda wapi
Acha ukuda wewe. Magufuli anafaa na Watanzania wengi wanajua kazi yake
Vijana wa Lowassa, akina PPM wamepanick hapa,wasamehe bure, wapo kwenye ajira zao.
Kutafuta mgombea uraisi msafi ndani ya ccm ni sawa kutafuta mwanamke bikra kwenye wodi ya wazazi.