Dk. Jonh Pombe Magufuli achukua fomu kugombea urais wa Tanzania

Dk. Jonh Pombe Magufuli achukua fomu kugombea urais wa Tanzania

Bora yamagufuri kuliko lowasa yanii low as a kwake rushwa njenje kwe nia tu watu wameondoka na bahashs ya asantemkipa low as a nchi ataanza kuwauza babu zetu anakuja bibi zetu atamalizia na wewe uliempa nchihaha nchi hii inaitaji MTU dikteta asiye Cheka Cheka wala kuangalia MTU machoni mwenye maamuzi magumu
 
Huyu jamaa kafanya madudu sana wizara ya Ujenzi, alitumia sana mabavu kupisha sheria na maamuzi, kwa mfano project nyingi amezipeleka sehemu ambayo hata siyo feasible. kwa mfano kuna feasibility study ilifanyika mwaka 2004. Study ilisema sehemu ya Kyamyorwa - Buzirayombo (120km) inayopita nyumbani kwa Magufuli (Chato) siyo feasible sehemu iliyokuwa feasible ni ya Usagara - Geita. Ila kwa ujeuri wake na kutojali fedha za walipa kodi alibadilisha maamuzi ili mradi upite nyumbani kwake. Sehemu ya kwake ilijengwa 2005, sehemu iliyokuwa feasible ilijengwa 2009. huo ni mfano mmoja tu wa madudu ya huyu jamaa, akipewa nchi si itakuwa balaa FS KYB - Geita Page 001.jpgFS KYB - Geita Page 002.jpg
 
wewe unafurahi ma regional manger wa tanroads wanalia sasa amount ya hela walizoambiwa wachangie

very coward man, anachoogopa kutangaza nia adharani ni maswali ya madudu aliyofany ikiwemo kuuza mali za umma. Shame on you, kwenye huo mchakato hakuna kundanganya watu na km za barabara

jembe huoni hata aibu kusema. Maeneo yote nyeti wameuziwa watu binafsi, including vimada wake e.g kebbys hotel. Wewe umekaa kushabikia upuuzi. Huyu mtu angekuwa china angekuwa ameshanyongwa siku nyingi

siwezi sikiliza rubish, nyuma zimeuzwa kwa usimamizi na ushauri wake. Kimadawake amepata nymba mwenge kabomoa kajenga kebbys hotel, hivyo ndiyo wananchi wanajua na ndiyo ukweli wa hilo jambo

BAADA YA KUSIKIA JUU YA MAGUFULI KAKIMBIA MBIO, NI NANI PPM??

mkuu tunashukuru kwa information. Ila kwa taharifa na kwa utashi mkubwa wa lowasa awezi kimbilia kuchukua form wakati kuna msiba, lowasa ataomboleza kama watanzania wengine, then form atachukuwa kesho


who is nape in this country? Walijaribu wenyeviti wa chama kwa hawamu zilizopita wakashindwa, ndiyo huyo kijana aliyeachiwa jimbo mtama atawesa? Watanzania wenzangu please please say no to third term, no to uncle, no to project ya jumba kuu aka membe

he he he. Kweli sikio la kufa halisikii dawa. Ninachokusifu wewe na simiyu yetu, mmehamua kufa na tai shingoni. Afte all hamna option as hamkubaliki kambi ya ushidi ni Lowassa. Ninawashauri muelekee chalinze kwenye kampeni za ubunge

  • this is one horse race. Hii ngoma hakuna cha ikulu wala cc
    hilo swali kamuulize house girl wako. Raisi wa safari hii ameshajulikana ni lowassa, ni mungu tu anaweza kuzuia

duh mkuu, kwanza kabisa ninaomba nikuombe radhi, mimi nilijua wewe ni team membe, au umeshaama kambi na kutambua ukweli safari ya matumsini imewadia. Wewe ni mpiganaji mzuri ulichokosa ni utashi wa kuona ukweli, naamini team yako ikikosa nguvu utakuja kwenye ukweli na kuachana na jumba kuu project a.ka membe. Please say no to third term. Hawa jamaa wameifikisha hii nchi hapa then wanataka ucle aingie jumba kuu. No no no to project membe watanzania wenzangu


PPM HUO UMASKINI WAKO UTAKUUA, YAAN LOWASSA KWA PESA ZAKE NDIO KAKUPA KAZI YA KUSHINDA KWENYE MTANDAO???nilitaka kushangaa ni nani huyu??kumbe kila unachoandika kwenye thread zote ni kwa maslahi ya LOWASSA.


Guys, muwe macho na watu kama PPM, watu wanalipwa humu na hawa mafisadi kuchafua watu.
 
  • Thanks
Reactions: PPM
Ngoma ya mwaka huu haitakuwa ya kitoto na itakesha.
 
huyu jamaa namfananishaga na member flani humu ndani akichangiaga tu huwa namkumbuka

huyu jamaa anapigaga pesa ndefu sana sema inakua haina mzunguko mrefu ndo maana kujua ni ngumu
ila anajiona msafi sanaa

hamna lolote nyongeza tu.....

mkuu asante sana,umemaliza kila kitu kwa maelezo yako maridhawa.
Chukua like ya maandishi, LIKE.
 








PPM HUO UMASKINI WAKO UTAKUUA, YAAN LOWASSA KWA PESA ZAKE NDIO KAKUPA KAZI YA KUSHINDA KWENYE MTANDAO???nilitaka kushangaa ni nani huyu??kumbe kila unachoandika kwenye thread zote ni kwa maslahi ya LOWASSA.


Guys, muwe macho na watu kama PPM, watu wanalipwa humu na hawa mafisadi kuchafua watu.

Mkuu siyo kila kitu lazima ulipwe, ukweli unaonekana, sisi kama watanzania hatutaki kuongeza third term ya awamu ya nne, Watanzania wenzangu please please say No to Third term, No to uncle, No to project ya jumba kuu Aka Membe
 
Bora yamagufuri kuliko lowasa yanii low as a kwake rushwa njenje kwe nia tu watu wameondoka na bahashs ya asantemkipa low as a nchi ataanza kuwauza babu zetu anakuja bibi zetu atamalizia na wewe uliempa nchihaha nchi hii inaitaji MTU dikteta asiye Cheka Cheka wala kuangalia MTU machoni mwenye maamuzi magumu


Vijana wa Lowassa, akina PPM wamepanick hapa,wasamehe bure, wapo kwenye ajira zao.
 
ratiba ya jana ilionyesha hivyo..amechukua bila kutangaza nia aakijiamini kwamba watz wanajua utendaji wake...waache wamlete mwizi huyu ....lazima atwambie zile 268 bil zimeenda wapi
Acha ukuda wewe. Magufuli anafaa na Watanzania wengi wanajua kazi yake
 
Kutafuta mgombea uraisi msafi ndani ya ccm ni sawa kutafuta mwanamke bikra kwenye wodi ya wazazi.
 
Vijana wa Lowassa, akina PPM wamepanick hapa,wasamehe bure, wapo kwenye ajira zao.

Kapwela Magufuli akivuka round ya kwanza kwa CC iliyopo, ninaama nchi. Hana track record yotote kwenye chama. Hakuna hata barabara moja iliyojengwa kwa funds za GoT iliyodumu kwa design period. Kanunua meli ya kwenda Bagmoyo inatumia masaa manne, kakamata meli ya wavuvi wachina tumelipa fidia, kauza nyumba za Serikali kwa bei chini kuliko viwanja vya Mapinga Bagamoyo. Project nyingi zime fail kabla hata hazijafunguliwa sasa ni upofu mnao au nini?
 
Back
Top Bottom