ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kwakuwa Sasa Bwawa la Stiglers limebakisha MITA 8 za kujaa maji kiwango Cha kuzalisha Umeme, yaani imefika MITA 155.8, na tayari mpaka Sasa maji yaliyomo katika Bwawa Hilo Toka limeanza kujazwa mwezi wa 12 mwaka linafanya Kwa Sasa ndo Bwawa lenye maji mengi zaidi ya mtera , na Nyumba ya Mungu, japokuwa halijajaa mpaka juu.
Na kwakuwa Serikali pia IPO Karibuni kuanza kupandikiza Samaki na kuneemesha sekta ya uvuvi , na Mashamba ya mh. Bashe chini ya wizara yake.
Sasa ni wakati wa kumuenzi Magufuli na kuliita Hilo Bwawa kwa jina lake, maana amethubutu mno