Dk. Samia tunaomba mradi wa Bwawa la Nyerere uitwe Magufuli HEPP

Naungana Mkono na wewe Mkuu,
Ambaye Anapinga Ni mtu Ambaye Hana Fadhila Yoyote Hata umtendee Nini
 
Chimbeni jingine huko Chato mliite jina lake,tabia ya kipuuzi sana kila kitu kupachikwa majina ya watu.
Mbona mabwawa yote ya zamani yanaitwa kwa asili ya eneo lilipo kuna mtera,kidatu,kihansi n.k

Una uhakika gani Kama mtera,Kidatu Hawakuwa Watu
 
Kwakuwa Sasa Bwawa la Stiglers limebakisha MITA 8 za kujaa maji kiwango Cha kuzalisha Umeme, yaani imefika MITA 155.8, na tayari mpaka Sasa maji yaliyomo katika Bwawa Hilo Toka limeanza kujazwa mwezi wa 12 mwaka linafanya Kwa Sasa ndo Bwawa lenye maji mengi zaidi ya mtera , na Nyumba ya Mungu, japokuwa halijajaa mpaka juu.
Na kwakuwa Serikali pia IPO Karibuni kuanza kupandikiza Samaki na kuneemesha sekta ya uvuvi , na Mashamba ya mh. Bashe chini ya wizara yake.
Sasa ni wakati wa kumuenzi Magufuli na kuliita Hilo Bwawa kwa jina lake, maana amethubutu mno
Jisemee mwenyewe. Ubaki kuitwa kama inavyoitwa maana yeye ndiye muasisi wa huo mradi.
 
Kwakuwa Sasa Bwawa la Stiglers limebakisha MITA 8 za kujaa maji kiwango Cha kuzalisha Umeme, yaani imefika MITA 155.8, na tayari mpaka Sasa maji yaliyomo katika Bwawa Hilo Toka limeanza kujazwa mwezi wa 12 mwaka linafanya Kwa Sasa ndo Bwawa lenye maji mengi zaidi ya mtera , na Nyumba ya Mungu, japokuwa halijajaa mpaka juu.
Na kwakuwa Serikali pia IPO Karibuni kuanza kupandikiza Samaki na kuneemesha sekta ya uvuvi , na Mashamba ya mh. Bashe chini ya wizara yake.
Sasa ni wakati wa kumuenzi Magufuli na kuliita Hilo Bwawa kwa jina lake, maana amethubutu mno
Naunga mkono hoja
 
Tunaomba Mungu azuie huo upumbavu usitokee kamwe!
 
Kwanini lisiitwe "Mwananchi" si Kodi za watanzania zimetumika
 
Badala moumbe Bei wasiweke za kipuuzi akamilishe nyie mnaomba majina Kuna vitu vingi haviko sawa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Hapana. Nakataa na kupinga kwa nguvu zote hilo, kamwe hilo bwawa haliwezi kuitwa jina la yule mhuni, fisadi na muuaji - Magufuli. Big NO!

After all aliiba sana kwenye huo mradi.
Sheria inasema "Mhalifu hawezi na hapaswi kufaidika na uhalifu aliotenda"
 
Weka udhibitisho wa unachokisema Ili usionekane mpuuzi
 
Tuanze na ripoti za CAG; 2020-2022.

Pili Hotuba ya Bajeti Waziri wa Nishati 2021/22.

Tafuta hizo, soma, kisha rudi tujadiliane.
Tovuti za Bunge na Wizara ni quick links

NB: Ukumbuke tayari hilo bwawa lina jina. Kwa hiyo hatuna mjadala wa jina jipya.
 
Kwakuwa Sasa Bwawa la Stiglers limebakisha MITA 8 za kujaa maji kiwango Cha kuzalisha Umeme, yaani imefika MITA 155.8, na tayari mpaka Sasa maji yaliyomo katika Bwawa Hilo Toka limeanza kujazwa mwezi wa 12 mwaka linafanya Kwa Sasa ndo Bwawa lenye maji mengi zaidi ya mtera , na Nyumba ya Mungu, japokuwa halijajaa mpaka juu.
Na kwakuwa Serikali pia IPO Karibuni kuanza kupandikiza Samaki na kuneemesha sekta ya uvuvi , na Mashamba ya mh. Bashe chini ya wizara yake.
Sasa ni wakati wa kumuenzi Magufuli na kuliita Hilo Bwawa kwa jina lake, maana amethubutu mno
Mnapoelekea hata nchi mtaaomba iitwe magufuli republic ,
Kila awamu imefanya makubwa kwenye nchi hii , so kila kitu kiingeitwa kwa majina Yao ingekuwaje
 
Japo sikumpenda Jiwe ila naona poa tu...kwa hapo alikomaa anastahili.
 
Back
Top Bottom