Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Hii inaonesha alifanya vitu vichache vya kuhesabika.Hebu tuwaze.. imagine miradi mingine yote iliyopo nchini toka uhuru ingekua na Majina Nyerere.. Mwinyi.. Mkapa.. Jakaya.. yaani miradi yote iwe na majina hayo tu ili kuwaenzi.
Fikiria Nyerere;
HOSPITALS
Muhimbili hospital
Mbeya Referal
USAFIRISHAJI
Reli Tanzania to Zambia
Barabara Tanzania to Zambia
Ndege 13, zote mpya jet engine
MABWAWA YA UMEME
Kidatu
Mtera
VIWANDA
TBL
Urafiki
Mutex
Mwatex
Mbeyatex,
Bora Shoe
General Tyre
Swala
TAMCO
Sigala
Mbuni sabunu
TANALEC, na vingine vingi
VYUO
UDSM
Sokoine
Mzumbe
Dar Tech
Arusha Tec
Chang'ombe,
Kleruu
Sekondari na high schools nyingi za viwango vya juu visivyoweza kukaribuwa na takataka za siku hizi.
Na miradi mingine mingine.
Watu wanasema kila kilichoanza kujengwa wakati wa magufuli kiitwe kwa jina lake, kwa sababu ni vichache, vya kuhesabika, na hakuna hata kimoja ambacho alikikamilisha katika kipindi chake cha miaka 5.