ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Ujinga mtupu! Akili yako imeishia hapo?Kwakuwa Sasa Bwawa la Stiglers limebakisha MITA 8 za kujaa maji kiwango Cha kuzalisha Umeme, yaani imefika MITA 155.8, na tayari mpaka Sasa maji yaliyomo katika Bwawa Hilo Toka limeanza kujazwa mwezi wa 12 mwaka linafanya Kwa Sasa ndo Bwawa lenye maji mengi zaidi ya mtera , na Nyumba ya Mungu, japokuwa halijajaa mpaka juu.
Na kwakuwa Serikali pia IPO Karibuni kuanza kupandikiza Samaki na kuneemesha sekta ya uvuvi , na Mashamba ya mh. Bashe chini ya wizara yake.
Sasa ni wakati wa kumuenzi Magufuli na kuliita Hilo Bwawa kwa jina lake, maana amethubutu mno
Hii Amri, halitakiwi liwe Ombi.Kwakuwa Sasa Bwawa la Stiglers limebakisha MITA 8 za kujaa maji kiwango Cha kuzalisha Umeme, yaani imefika MITA 155.8, na tayari mpaka Sasa maji yaliyomo katika Bwawa Hilo Toka limeanza kujazwa mwezi wa 12 mwaka linafanya Kwa Sasa ndo Bwawa lenye maji mengi zaidi ya mtera , na Nyumba ya Mungu, japokuwa halijajaa mpaka juu.
Na kwakuwa Serikali pia IPO Karibuni kuanza kupandikiza Samaki na kuneemesha sekta ya uvuvi , na Mashamba ya mh. Bashe chini ya wizara yake.
Sasa ni wakati wa kumuenzi Magufuli na kuliita Hilo Bwawa kwa jina lake, maana amethubutu mno
Mjinga wewe!Kwakuwa Sasa Bwawa la Stiglers limebakisha MITA 8 za kujaa maji kiwango Cha kuzalisha Umeme, yaani imefika MITA 155.8, na tayari mpaka Sasa maji yaliyomo katika Bwawa Hilo Toka limeanza kujazwa mwezi wa 12 mwaka linafanya Kwa Sasa ndo Bwawa lenye maji mengi zaidi ya mtera , na Nyumba ya Mungu, japokuwa halijajaa mpaka juu.
Na kwakuwa Serikali pia IPO Karibuni kuanza kupandikiza Samaki na kuneemesha sekta ya uvuvi , na Mashamba ya mh. Bashe chini ya wizara yake.
Sasa ni wakati wa kumuenzi Magufuli na kuliita Hilo Bwawa kwa jina lake, maana amethubutu mno
Tuna tatizo kubwa sana la Afya ya AkiliMjinga wewe!
Omba Chato iitwe Magufuli Town.
Si ndo nyie sukuma gang mlikuwa mnasema hakuna mradi hata mmoja ulipachwa na jpm unaendelezwa? Iweje Leo uje kinyumenyume japo unajua jpm mwenyewe asingekuwa na ubavu wa kukamilisha mana alishavamia personal accounts zote na hela imeshaosha au wahusoka wa kuibiwa wameshakimbia nchi na wengine kufilisiwa kibabe kama.akina Nimrodi mkonoKwakuwa Sasa Bwawa la Stiglers limebakisha MITA 8 za kujaa maji kiwango Cha kuzalisha Umeme, yaani imefika MITA 155.8, na tayari mpaka Sasa maji yaliyomo katika Bwawa Hilo Toka limeanza kujazwa mwezi wa 12 mwaka linafanya Kwa Sasa ndo Bwawa lenye maji mengi zaidi ya mtera , na Nyumba ya Mungu, japokuwa halijajaa mpaka juu.