Dk. Samia tunaomba mradi wa Bwawa la Nyerere uitwe Magufuli HEPP

Una omba wewe na nani?
 
Kwani hiyo mtangulizi hakuona umuhimu wa hilo bwawa kuitwa kwa jina lake? Mtangulizi alibariki liitwe kwa jina la Nyerere halafu leo aliyeko madarakani afanye mapinduzi ya juu kwa juu?

Kesho au keshokutwa akija rais mwingine na akakuta kuna mradi uliofanywa na huyu aliyeko madarakani na katika kuuendeleza akaukamilisha bila shaka utadai mradi huo uitwe kwa jina la mtangulizi wake. Bongo kweli ni Gongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…