Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

Hii dunia haiishi vibweka.

Katibu mkuu wizara ya utamaduni, sanaa na michezo amefunga ndoa na mtangazaji wa clouds kipindi cha XXL mamy baby mkoani tabora.

Ni kweli huyu mkuu hakua na mke mwanzo au kaongeza ubavu
 
Hongera zake

Wanawake wanaofanya kazi za kuonekana kama media, u miss, music, waigizaji etc huwa wana bahati ya kuolewa na mabosi
Sababu kubwa hao Maboss awaoni nje ya hao wanawake uliowataka. Tusiokuwa Maboss tunakula vzr sana ukiondoa Udomo Zege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…